Dia Mwn FA natumai u
mzima,dhumuni
la barua hii ni kutaka kujua lin
utaweka waz mapato ya show
yako "the finest"uliyofanya ijumaa
ya tar 14.6.2013 na
kuwaeleza waTZ 15% ya
show ni kiasi fulani na
Kuzipeleka kwa mama mzazi wa
marehem Mangwea kama ulivyo
toa ahad,natumai umenielewa
nategemea jibu zuri
Xorry kama umekereka tuliumbwa
kuwakera wengine