Barua ya wazi kwa FA

Grenvil

Senior Member
Feb 6, 2013
180
16
Dia Mwn FA natumai u
mzima,dhumuni
la barua hii ni kutaka kujua lin
utaweka waz mapato ya show
yako "the finest"uliyofanya ijumaa
ya tar 14.6.2013 na
kuwaeleza waTZ 15% ya
show ni kiasi fulani na
Kuzipeleka kwa mama mzazi wa
marehem Mangwea kama ulivyo
toa ahad,natumai umenielewa
nategemea jibu zuri
Xorry kama umekereka tuliumbwa
kuwakera wengine
 
good one, si ajabu hata hiyo 15% ilitumika tu kuvutia wateja

Time to man -up mwanaFatma
 
MwnaFistula peleka hiyo 15 percent ya bi mkubwa, unataka kumdhurumu? Mpka leo kimia.
 
Jaman wenzie wanaahidi jukwaani baada ya kuona nyomi itamcost hii.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom