Habarini wana jamvi, poleni kwa mliokumbwa na unyama wa TPDC.
Kwenu wakuu wa kazi TPDC ni dhahiri mlikusudia mliyoyafanya kwa wanyonge wananchi. Nikiwa kama mmoja wao nimehuzunishwa na the way mlivyowapata watu wenu kwa njia za panya na kuwadidimiza wanyonge. Tangu tulipoomba kazi mwezi wa 6 tulishaanza hata kusahau kama mlitutangazia kazi hadi november. Kama mlikusudia kuwapachika watu wenu siioni sababu ya kutuchagua na kutupotezea muda mkijishaua mnataka kutusaili. Kiukweli mmewaweka watu wenu kwenye mwanga wote tukiwa tunaona. Asanteni kwa ukarimu wenu na Mungu awabariki.
Wenu mliyemdhurumu,
Obyree.
Usimwachie Mungu nadhani milango ya CMA-(Mahakama ya kazi) iko wazi fanya jitihada udai kutendewa haki ili siku nyingine na wengine wasiumizwa!
Mkuu inatia uchungu sana,yaani mtu wamemuita then amefika na gazeti kbsa na jina lipo,katoka Sengerema kasafili usiku mzima,kufika Morogoro basi likazuiwa maana usiku ulikuwa umefika,ikabidi jamaa adandie roli ili afike Dar alfajiri...kafika Mbezi saa kumi na moja alfajiri,foleni imefunga...nikamwambia akodi pikipiki aje hadi External nyumbani kwangu ili nimpeleke mana alikuwa hapajui Msimbazi Center...hata kuoga wala kubadili nguo hakuna mana alifika saa moja kasoro!!!!Anafika pale eti wanamwambia kama jina lipo gazetini na mtandaoni halipo basi hawezi kupiga interview...jamaa akatoa gazeti jina lipo,msichana mmoja akaja na simu akamwambia jina lako lipo gazetini lkn kwenye website halipo...so hauruhusiwi kuingia ndani rudi tu kwenu.
Kwa kweli ni jamaa yangu,imeniuma sana,ni.bora hata angefanya ijulikane kashindwa kuliko kumkejeli na kumweka kando amekata sana tamaa!!!Inaumiza sana,ila ngoja ipo tu siku....hii nchi kuna mahali tunapelekana,itafika tu siku!!!IMENIUMA SANA

Tanzania au :canada: au :usa: mzee? Atamaliza pesa na muda bure then mwisho wa siku atashindwa kesi. Hapa ni kukausha tu hadi 2015 October.
Dah! kweli stori yako imenihuzunisha sana,pole ndugu yangu lakini mwambie asikate tamaa hizo ni chanagamoto za maisha ipo siku atasahau kama alipita katika hali ngumu kiasi hicho mungu atamsaidia,kuna watu wakikaa kwenye nafasi fulani huwa wanafanya makusudi ili uwepo wao uonekane tu hawana lingine.Mkuu inatia uchungu sana,yaani mtu wamemuita then amefika na gazeti kbsa na jina lipo,katoka Sengerema kasafili usiku mzima,kufika Morogoro basi likazuiwa maana usiku ulikuwa umefika,ikabidi jamaa adandie roli ili afike Dar alfajiri...kafika Mbezi saa kumi na moja alfajiri,foleni imefunga...nikamwambia akodi pikipiki aje hadi External nyumbani kwangu ili nimpeleke mana alikuwa hapajui Msimbazi Center...hata kuoga wala kubadili nguo hakuna mana alifika saa moja kasoro!!!!Anafika pale eti wanamwambia kama jina lipo gazetini na mtandaoni halipo basi hawezi kupiga interview...jamaa akatoa gazeti jina lipo,msichana mmoja akaja na simu akamwambia jina lako lipo gazetini lkn kwenye website halipo...so hauruhusiwi kuingia ndani rudi tu kwenu.
Kwa kweli ni jamaa yangu,imeniuma sana,ni.bora hata angefanya ijulikane kashindwa kuliko kumkejeli na kumweka kando amekata sana tamaa!!!Inaumiza sana,ila ngoja ipo tu siku....hii nchi kuna mahali tunapelekana,itafika tu siku!!!IMENIUMA SANA
Mkuu inatia uchungu sana,yaani mtu wamemuita then amefika na gazeti kbsa na jina lipo,katoka Sengerema kasafili usiku mzima,kufika Morogoro basi likazuiwa maana usiku ulikuwa umefika,ikabidi jamaa adandie roli ili afike Dar alfajiri...kafika Mbezi saa kumi na moja alfajiri,foleni imefunga...nikamwambia akodi pikipiki aje hadi External nyumbani kwangu ili nimpeleke mana alikuwa hapajui Msimbazi Center...hata kuoga wala kubadili nguo hakuna mana alifika saa moja kasoro!!!!Anafika pale eti wanamwambia kama jina lipo gazetini na mtandaoni halipo basi hawezi kupiga interview...jamaa akatoa gazeti jina lipo,msichana mmoja akaja na simu akamwambia jina lako lipo gazetini lkn kwenye website halipo...so hauruhusiwi kuingia ndani rudi tu kwenu.
Kwa kweli ni jamaa yangu,imeniuma sana,ni.bora hata angefanya ijulikane kashindwa kuliko kumkejeli na kumweka kando amekata sana tamaa!!!Inaumiza sana,ila ngoja ipo tu siku....hii nchi kuna mahali tunapelekana,itafika tu siku!!!IMENIUMA SANA
Hiki kitendo kilichofanywa na TPDC kina mahusiano gani na CCM?! Kuna watu wapuuzi kweli yani. Kila kitu utawasikia "tusubiri 2015". Hivi ni ugoigoi ama nini?