NAANDIKA HUU UZI NIKIWA KAMILI KITHAIKOLOJIANilikaa nikajiuliza iweje niteseke kiasi hiki? nilifikia hatua ya kumlaumu MunguEmmanuel Michaelkmkumbe sikujua kuwa God angenipatia mtu kama wewe nimeamini kuwa MAPENZI YANAUMIZA NA NDIYO MAANA WATU WANAJIUWAKwahiyo ukiona mtu kajiuwa kisa mapenzi juwa kwamba alikuwa na mapenzi ya dhatiKwakuwa wewe umekuwa chaguo la moyo wangu nakuomba usije nitema kwa sababu nakupenda sana mwingine hapatikani atakayeweza kukutoa moyoni mwanguNajua mapenzi ya siku hzi wengi walaghai lakni kwangu yapo ya kweli mapenziBOFYA HAPA[url/]
kama ulivyo niahidi kuto niacha timiza BABY
Looo!!! Kujiua kumerahisishwa.
Shetani ana kazi tatu 1. KUUA 2. KUIBA 3.KUHARIBU.
Ukiona moyo wako unakutuma kufanya mojawapo ya hayo, ujue umeingiliwa tayari.
(Fikra za kujiua, kuua, kuharibia wengine au binafsi, n.k)
Unajiua unaacha msichana anapata mwingine unakua umepata faida gani?? Had unawaza kuua ndo umeona the best solution sio ukijua kupendwa na kukataliwa ujue vilevile