hawa jamaa miaka michache iliyopita walitanuka kwa kasi na kufungua branches kila mahali, wakaanza mpaka mobile services, mnakumbuka? kumbe ilikuwa nguvu ya soda, au nao walikuwa wanaenda kisiasa? hapakuwa na upembuzi yakinifu (feasibility study) wa hayo matawi?