:biggrin1: tuliza boli babu usijaribu kugombana na keyboard.. We unataka kusema valencia vs espanyol na chelsea vs man city mechi ipi itaangaliwa zaidi? Unajua kwanini timu za spain muda wa kuonyeshwa ni tofauti ni kua wakisema wacheze mda sawa uk na spain, ujue spain hawatapata viewings.. Man utd vs liverpool iwe inaonyeshwa mda sawa na atletico vs real madrid uone ka mpira wa madrid watu wataangalia.. Acha ubishi wa kipuuzi google viewing figures kati ya english
and spanish teams uje uziweke hapa
nilikosea timing.Ila nilibahatika amka na kuitazama ingawa nikiahirish akzi zangu ila nimeridhika sana.Bado madrid watu wanaipogeza kwa kichapo,inelekea imehalalishiwa kuwa kilaza.Pamoja na kuwa na magoli ya ugenini ila wanapata sana shida ya kisaikologia wakiongozwa na Christinao Ronaldo anaweweseka mbele ya messi.
spanish football is attractive lakini timu ziko mbili tu...mpaka barca wacheze na madrid ndio kila mtu anakua excited sio kama england...english football is not as attractive as the spanish one lakini ndio zinaangaliwa zaidi fikiria hapo man u vs man city, man u vs arsenal arsenal vs chelsea chelsea vs livepool spurs vs arsenal everton vs liverpool huwezi kuona hiyo kwenye ligi nyingine yoyote europe
ila tambua kwamba ! Mechi zote za clubs za kwenye hii dunia, ni mechi kati ya real madrid na fc barcelona ndio huwa zinaangaliwa na idadi kubwa ya watu kuliko mechi yoyote ile duniani kwa sasa.
That mayb tru bt for me mechi zionyeshwe same time kati ya man utd vs liverpool au barca vs madrid i would always watch the former
SIMPLY BECOUSE YOU DONT'T KNOW WHAT IS FOOTBALL. mtoto wa mjini ivi ni kweli kwa sasa ipingwe mechi izo na wewe uangalie the former one? kwa kigezo kipi? mana ukiangalia standard ya mechi kati ya timu hizo ni dhahiri mechi kati ya fcb na rmd ndo the best na inakila sababu ya kuiangalia kwa sasa kama kweli wewe ni mtu wa mpira.
I love the games btn barca vs madrid i really do bt if man u is playin at the same time as everyone else i would still watch man u games... Call me old fashioned or out of touch with football bt for me manchester united will always come first.. Always
Leo tena miamba ya Spain inaumana katika michuano ya Super Cup hii baada ya Real madrid kuzidiwa kete mechi awali kwa kufungwa mabao 2 kwa 1...Je,ataweza kutunisha misuli na kuwabwaga Barcelona pale Santiago Bernabeu?
Usikose kuangalia uhondo huu leo 2330hrs EAT..
nimekuelewa, yani uko kiushabiki na ki mapenzi zaidi na man u kwa hili! sio mbaya aisee, mana hata mimi ikicheza barca b vs yanga, na man u vs man city! niataangalia ya barca b na yanga! hahaha! mutoto ya mujini kweli wewe ni man u damu mdau
Wewe unatania bila shaka.
2 kwa 1? Ya lini hiyo mkuu,, me nakumbuka alhamis ilopita ilikuwa 3 kwa 2 kama sikosei!!!!!Leo tena miamba ya Spain inaumana katika michuano ya Super Cup hii baada ya Real madrid kuzidiwa kete mechi awali kwa kufungwa mabao 2 kwa 1...Je,ataweza kutunisha misuli na kuwabwaga Barcelona pale Santiago Bernabeu?
Usikose kuangalia uhondo huu leo 2330hrs EAT..
nimekuelewa, yani uko kiushabiki na ki mapenzi zaidi na man u kwa hili! sio mbaya aisee, mana hata mimi ikicheza barca b vs yanga, na man u vs man city! niataangalia ya barca b na yanga! hahaha! mutoto ya mujini kweli wewe ni man u damu mdau
Bila shida mkuu, asante kwa uungwana wako manake angekuwa mwingine leo ningeporomoshewa matusi mpaka basi.Sawa nimekuelewa mkuu ngoja nibadilishe nimekosea hapo.
Leo Barca atatoka??
Bila shida mkuu, asante kwa uungwana wako manake angekuwa mwingine leo ningeporomoshewa matusi mpaka basi.