Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,347 Reaction score 26,153 Jan 27, 2013 #1 Sasa ni dakika ya 14 kipindi cha kwanza,Barcelona wameshapata bao moja lililofungwa na Lionel Messi mnamo dakika ya 11. Jioni ya leo,Real Madrid wameshinda mabao 4-0 dhidi ya Getafe huku Cristiano Ronaldo akifunga hat-trick
Sasa ni dakika ya 14 kipindi cha kwanza,Barcelona wameshapata bao moja lililofungwa na Lionel Messi mnamo dakika ya 11. Jioni ya leo,Real Madrid wameshinda mabao 4-0 dhidi ya Getafe huku Cristiano Ronaldo akifunga hat-trick
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,347 Reaction score 26,153 Jan 27, 2013 Thread starter #2 Osasuna wamesawazisha dakika ya 24 kupitia kwa Raoul Loe
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,347 Reaction score 26,153 Jan 27, 2013 Thread starter #3 Dakika ya 29,Messi anafunga bao la pili kwa mkwaju wa penati na mchezaji mmoja wa Osasuna ametolewa nje kwa kadi nyekundu
Dakika ya 29,Messi anafunga bao la pili kwa mkwaju wa penati na mchezaji mmoja wa Osasuna ametolewa nje kwa kadi nyekundu
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,347 Reaction score 26,153 Jan 27, 2013 Thread starter #4 Dakika ya 40,Barca wameongeza bao la tatu mfungaji akiwa Pedro