John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 390
Somewhere karibu na kibaha barabara ya morogoro imezibwa kwa mawe na wananchi. Sababu kuna mtu amekufa jiqgani na barabara kama siku tatu zilizopita, taarifa ikatolewa polisi hakuna hatua iliyochukuliwa, sasa wananchi wameziba njia kushinikiza polisi wauondoe mwili wa marehemu!
Vipi tunaweza ona angalau kidogo tu!! Hata mchoro unatosha
matomaso bhana.... kila kitu picha.Mkuu fanya mpango basi angalau wa kapicha!
Somewhere karibu na Kibaha barabara ya Morogoro imezibwa kwa mawe na wananchi. Sababu kuna mtu amekufa jirani na barabara kama siku tatu zilizopita, taarifa ikatolewa polisi hakuna hatua iliyochukuliwa, sasa wananchi wameziba njia kushinikiza polisi wauondoe mwili wa marehemu!
Nchi ya watu masikini wa pesa, roho na utu..Badara ya kuchimba kabiuri na kusitiri Mwili wa marehemu mnautizama siku tatu then mnaamua kuandamana ili wengine waje kuwasaidia kuuzika!!..wajinga sana!!
Nchi ya watu masikini wa pesa, roho na utu..Badara ya kuchimba kabiuri na kusitiri Mwili wa marehemu mnautizama siku tatu then mnaamua kuandamana ili wengine waje kuwasaidia kuuzika!!..wajinga sana!!
Na wewe kha! Yaani mwili uzikwe haijajulikana ni nani, sababu ya kifo, ndugu zake ni nani na wako wapi? Usisahau huyo ni kiumbe ambaye ana ndugu na jamaa. Polisi ni lazima wahusike kwa uchunguzi