Magari ya abiria na mizigo yamekwama ktk eneo la signal kutokana na mvua iliyonyesha jana usiku baada ya mkandarasi kushindwa kusambaza vifusi vilovyomwagwa pembezoni mwa barabara hiyo takriban mwezi sasa hivi.Uongozi wa mkoa ujaribu kumfuatilia huyo mkandarasi maana watumiaji wa barabara hiyo wanateseka sana.Hivi sasa kuna gari zimenasa toka asubuhi malori pamoja na mabasi.kazi kwenu viongozi.
Kilomita 20 kutoka Ifakara na hivi bado wamekwama watu hapo.
Wilaya ya kilombero mkoa wa morogoro
Awije!!! Mkuu umeandika kizungu sana mpaka nimepasahau kunaitwa siginali cjui kama inamaana ya "signal" ya malkia ElizaMagari ya abiria na mizigo yamekwama ktk eneo la signal kutokana na mvua iliyonyesha jana usiku baada ya mkandarasi kushindwa kusambaza vifusi vilovyomwagwa pembezoni mwa barabara hiyo takriban mwezi sasa hivi.Uongozi wa mkoa ujaribu kumfuatilia huyo mkandarasi maana watumiaji wa barabara hiyo wanateseka sana.Hivi sasa kuna gari zimenasa toka asubuhi malori pamoja na mabasi.kazi kwenu viongozi.