Barabara ya Hatari Zaidi Duniani

Hii barabara naijua ipo nchi ya kusadikika
 
Barabara haiwezi kususpend umbali mrefu bila kuwa na supporting structures.

BTW hapo kama huna gari za maana hupandi hiko kilima.

Barabara imekuwa mkeka kusema unatandikwa tu....huko kushuka kwenyewe labda kama gari ina gundi...
 
Sipati picha,kwa Hawa madereva wetu wa mabasi hapa nchini wangekuwa wanatumia barabara ya aina hiyo?,hapo wangekuwa wanashuka kwa Moto wake na kupanda na Moto wake pia...ingekuwa hatareeee.
 
ha ha ha ukifika kwenye kingo ya mto itabidi dereva aiachie free.....then anashika usukani wakati wa kupandisha....
 
Barabara haiwezi kususpend umbali mrefu bila kuwa na supporting structures.

BTW hapo kama huna gari za maana hupandi hiko kilima.

Mkuu kuna gari inayoweza panda 80° steep grade?
 
Barabara haiwezi kususpend umbali mrefu bila kuwa na supporting structures.

BTW hapo kama huna gari za maana hupandi hiko kilima.

Nimejiuliza maswali hadi nikajua kwanini barabara inaitwa mkeka, ni kama vile jamvi limetupiwa kuunganisha kingo za mto.
 
Atakuwa a.c.t.masalia huyu amini hivyo.

Asante kwa ufafanuzi umepata gazet la Mawio la leo ndio utajua kuwa act ni mtoto wa ccm ujingazi tayp zzk ni sawa na funza hakai pasafi pake ni uchafu na kwenye uozo
 
Sipati picha,kwa Hawa madereva wetu wa mabasi hapa nchini wangekuwa wanatumia barabara ya aina hiyo?,hapo wangekuwa wanashuka kwa Moto wake na kupanda na Moto wake pia...ingekuwa hatareeee.
hapo ni kuoga tu mtoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…