ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,435
- 89,845
Hawajaanza Leo kugombea Toka enzi za kabla ya Berlin Conference na hawajamaliza Mali hapa Afrika ndio kwanza Bado sie ni vigoli.View attachment 3088561
Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo.
Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa nchi za afrika.
Mwezi huu wa 9 mwaka 2024 inasemekana wapo CHINA , kuimarisha ushirikiano.
France -------Africa
Türkiye -------Africa
China -------Africa ,
Russia------- Africa
Japan------- Africa
South------- Korea Africa
Italy------- Africa
Qatar------- Africa
USA------- Africa
Viongozi wa Africa wapongezwe, wanafanya kazi kutafuta maendeleo , walichelewa sana, hu ndio wakati.
Wakituachia mashimo ndio tunakuwa "malapu-lapu?Hawajaanza Leo kugombea Toka enzi za kabla ya Berlin Conference na hawajamaliza Mali hapa Afrika ndio kwanza Bado sie ni vigoli.
Wacha watifuane ,mwenye better deals ndio ata th win
So far China ndiyo inakimbizaHawajaanza Leo kugombea Toka enzi za kabla ya Berlin Conference na hawajamaliza Mali hapa Afrika ndio kwanza Bado sie ni vigoli.
Wacha watifuane ,mwenye better deals ndio ata th win
Waje watuchangamshe akili kwa maana sisi ni bongolala sanaHawajaanza Leo kugombea Toka enzi za kabla ya Berlin Conference na hawajamaliza Mali hapa Afrika ndio kwanza Bado sie ni vigoli.
Wacha watifuane ,mwenye better deals ndio ata th win
Sisi tunawapambania kina Yesu na Muhammad kwanza 😁😁Waje watuchangamshe akili kwa maana sisi ni bongolala sana
Akili zao finyu!Ajabu viongozi wetu wamekua madalali wanaenda kuzinadi rasilimali zetu kwa kigezo cha mikopo nafuuu.
Hakuna cha mikopo nafuu hapo no free lunch similarly to opportunity costAjabu viongozi wetu wamekua madalali wanaenda kuzinadi rasilimali zetu kwa kigezo cha mikopo nafuuu.
Nilimuambia dogo mmoja kuwa China amekusanya kodi na fedha nchini kwake kwa faida yake sio kwa afrika.Hakuna cha mikopo nafuu hapo no free lunch similarly to opportunity cost
Wachina wana upendo sana!Nilimuambia dogo mmoja kuwa China amekusanya kodi na fedha nchini kwake kwa faida yake sio kwa afrika.
Kamekuja na ujinga mwingii eti ni Exhange.
Hapo wameenda mnadani kuuza rasilimali zetu.
Kabisa yaanPartition and scramble of africa - 21st century edition
Jiwe yeye alikua anataka 50/50, na Mabeberu wao hawataki hiyo 50, wanataka 95 alafu 5 ndiyo wanakupa wwe!! Kweli Jiwe atakumbukwa kwa mazuri yake na siyo mabaya.yake!!Pamoja na ukorofi wake na utekaji lakini jiwe aliwakazia sana mabeberu kwa hili.
Wanapigwa za uso eti 'thank you so much and God bless you' ukigeuka anakung'ong'a na mbele ya thank you wanaongeza wenyewe bila shuti, na, your 'excellence' mtusamehe ila ukweli ndiyo huoNilimuambia dogo mmoja kuwa China amekusanya kodi na fedha nchini kwake kwa faida yake sio kwa afrika.
Kamekuja na ujinga mwingii eti ni Exhange.
Hapo wameenda mnadani kuuza rasilimali zetu.
Mchina aje kwako kukupa hela kizembe.Wachina wana upendo sana!
Hakuna kitu kama hichoMchina aje kwako kukupa hela kizembe.
3. Low capital1. Lack of skilled labour.
2. Land alienation.
Uko sahihi. Ndio maana nimesema lenye uwezo wa kulisha dunia ila sio kwamba linalisha. Baadae hao wanaweza kulisha Dunia kupitia bara la AfricaUrusi na Ukraine wanailisha Africa
Wanapimaje hii rasimali kwa kusoma makaratasi au??AKILI[ Rasilimali pekee ya umuhimu kushinda zote ]
IQ level hiyo hapo, haishangazi View attachment 3088579
Kimsingi nchi zetu za Africa zinauzwa kupitia mikataba kama enzi za ukoloni. Wakijifanya kujisahaulisha tu mikataba inaenda mahakama za kimataifa chap.Partition and scramble of africa - 21st century edition
Halafu ukiuliza kuhusu tozo unaambiwa uende kigoma mwisho wa reliKimsingi nchi zetu za Africa zinauzwa kupitia mikataba kama enzi za ukoloni. Wakijifanya kujisahaulisha tu mikataba inaenda mahakama za kimataifa chap.
Unajua kibaya zaidi, unlike zamani, waafrika wa sasa wameelimika. Lakin hata hivyo elimu hizo haziwasaidii kujitegemeaKimsingi nchi zetu za Africa zinauzwa kupitia mikataba kama enzi za ukoloni. Wakijifanya kujisahaulisha tu mikataba inaenda mahakama za kimataifa chap.