Aisee ..... hadi kupewa taarifa ya bann kuna ubaguziHuwa tunaambiwa mkuu kosa na muda
we unatumia app au Web??
mimi natumia app jose..ila wiki jana nimepatwa na hilo piawe unatumia app au Web??
Ukiwa unatumia app sio rahisi kuona kosa, ila kama unatumia web utaona umepigwa ban kwa muda gani na kosa lako watakuoneshahivii utaratibu wa bann ukoje wakuu. ..??
tunapigana tuuu bilaa kupewa taarifa na kama kuna kosa kwanni tusiambiwe kwanzaa na hao ma mods.Tangu juziii nilikuwaa najalibu ku login JF naambiwa no posts kumbe ndo nilipigwa bann ivoo na kosaa langu silijui. hivi na wengine pia huwa amuambiwi kosa na muda wa hyo bann ..??
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ila kwenye app hautaona direct zaidi ya kutoweza kupost ila ukifungua JF kwa web browser utaona kosa na tarehe ya kutoka kifungoni...(kama nimekosea nisahihishe)mimi natumia app jose..ila wiki jana nimepatwa na hilo pia
basi ndio maana hukuona sababu..ungetumia Web kulog in ungeona sababu na tarehe ya ban kuisha