mkuu majany, nikuulize swali.....!!!Kama kuna mtu atahitaji bado kutumia ile email address pale juu,atume,kiroho safi nita i forward kwa HR,kama huamini kama wenzio,basi njoo mwenyewe hapa mjengoni......
Tapeli ww Taasisi ya kifedha haiwezi kutumia Live domain mkuu. Kwaibie Facebook huko. Labda ungheandika email ni recruit@[COLOR=#b22222]ubagroup[/COLOR].com
Kwenda Zako huko
Eti mwenye shida na ajira,tangazo la kazi linatakiwa liwe public na fair kwa watu wote,mtu hawezi kuwa interested kama hajaelewa anaomba wapi na lazima ajue mazingira ya kazi anayoombea we kama vp weka tangazo linalojitosheleza acha mbwembwe.Ukishasema UBA ndo iweje? weka job responsibility tujue.
mkuu hizo za Relationship managers,almost zimeshakua filled,kwenye morning meeting ya Ijumaa Hr alisisitiza tumtafutie watu wa e banking,ndio maana niliandika specifically e banking ili usipoteze muda na fedha pia kwenye kuomba nafasi ambazo huwezi kupata...kiungwana nikaona niwawekee wadau..hamna noma,nimesham forwardia kama 8 hv so far..
hahahaaaa....... uyu nae sijui tumtupie wapi usidanganye watu hapa!!!akili fupi!!
unaibiwa nini sasa wakati utakayotuma ni makaratasi...acha upimbi ww..unafuata mkumbo tuuu....angalia advert then angalia kama kuna email address ya kutumia,nili create ile email ili kuwarahisishia watu walioko mbali na ambao hawawezi kufika kwa urahisi hapa UBA....ilikua ni msaada tu..kwa kua wadau mmemind...then UBA bank ipo opposite na kiwanda cha sigara karibia na uchumi supermarket...
Mwizi maradufu ww kwann ucreate email....!???? Napenda nikufahamishe yani ww kama ni mfanyakazi na umeamua kututafuta sie makolig ulitakiwa uweke EMAIL YAKO PERSONAL na kama ni kucreate email kwa mantiki hutaki usumbufu ungetumia Majina yako ya kawaida na ungetujulisha kwamba una hii email ni ya kwangu na nimeweka kama bridge wakuu.
Please Mkuu hapo huna pa kujitetea Wenzako wale waliotoa za Barrick Goldmine tuliwakamata Dar wiki iliyopita wapo 3 na mmoja wao anajifanya yeye ni pedeshee hapa mjini daslslam na kabla ya hapo amekua akijihusisha na utapeli kwa wanawake tumesafirisha hadi Shinyanga na leo kesi yao imetajwa mahakamani. Ukiendelea na huu ujinga tutakutia nguvuni tena naomba usi reply hii post.