Bangi ihalalishwe

Bonge la thread:: wakuu mbona mimi namoka hiyo kitu tena inanipa mzuka wa kupiga kazi maana mi mishe zangu ni za night na nkishapiga inanambia acha ujinga fanya kazi tafuta ela kinachokufanya ukeshe usiku ni kwa sababu ya ela maana mi nimeajiriwa ila shift yangu ni night so ata apite mtoto mzuri inakuambia mpotezee we piga kazi Kwanza tafuta ela

Af no kucnzia mpaka majogoo maana mishe zangu ukicnzia tuu kidogo gari zinakupita afu asubh utaulizwa mbona ticket zimebaki manake ulilala sioooo?

Na tokea nmeanza ku moka Nina miaka mitatu na Kuna washua kibao na wanamifremu ya kutosha k Koo wengne wanatembelea ma range Rover spots, na ukiambiwa wanavuta maisha yako yote utabish mpaka uwakute ndo utaamin lkn wote mnakaa nao na wanawap mabonge ya ku haso na maisha na wakiona bange zako zinakutuma vibaya ujue we maskan huingii.

Mimi bange naiunga mkono %100
 
Afu Kwanza pusha mwenyew ili uingie maskan kwake lazima uwe una mishe zako unapiga na ziko wazi zinajulikana sio eti uendee tuu kwake ukae akuuzie tofaut na hvyo we nenda kavutie mbal wanakaa maskan ni wale tuu wanaojitambua na kujielewa na Kila wiki wazee wanapita kuchukua Chao mi naona Bora sigara zikatazwe maana ndo zina effect kubwa ki afya ikiwezekan zipigwe marufuku Kam mifuko ya nylon na bange ihalalushwe
 
Bange ,ganja , msuba , majani , ngada, wida , marijuana
Ongeza jina na wewe unalo lifahamu la bangi
 
Ngoja siku hao mapusha wawachanganyie na unga muanze kuwa mateja ndio mtaelewa somo vizuri
 
naunga mkono hoja
%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…