Kaka sio kupinga tu sababu uliambiwa bangi ni mbaya. Wenzio wameleta sababu. Mi naunga mkono hoja ila with reserves.Wote waliounga mkono ni wavuta bangi..leo mnataka bangi ilalishwe kesho mmoja wenu akiliwa tgo mtataka ushoga ulallishwe..bangi ni mbaya msitualibie vijana wa kesho na mawazo yenu yakibangi bangi..nyambafu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wote waliounga mkono ni wavuta bangi..leo mnataka bangi ilalishwe kesho mmoja wenu akiliwa tgo mtataka ushoga ulallishwe..bangi ni mbaya msitualibie vijana wa kesho na mawazo yenu yakibangi bangi..nyambafu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kaka nasio kutetea kisa umesoma google..nakubaliana na ww bangi inatumika to some extent kama dawa..ila its effect ni dynamic kwa mtu na mtu haiko uniform kama vitu vingine kama sigara..na sisemi singara ni nzuri hapana ila economically ni nzuri more benefit than bangi..kwanza harufu yake mbaya..na medical assosiations hawajaja na conclusion as all persea
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu mkaliwakitaa Mkuu sio Bangi tu ihalalishwe na unga pia uhalalishwe unaonaje? Acha ujinga wako kwa kuwa wewe unavuta hiyo bangi unataka ihalalishwe? kwenda maneno yako ya pumba hayo Bangi haitahalalishwa kamwe nchini Tanzania labda wewe ndio uwe Rais wetu unaweza kuhalalisha vile vilivyoharamishwa.Sijaona any criminality inayotokana na uvutaji wa bangi isipokua negative perception tuliyojijengea miaka mingi kuwa bangi sio nzuri.
Hili limenifanya nione kua bangi namsaada mkubwa ukiondoa ubaya unaosemwa juu yake.
Hivi majuzi nilibahatika kukukaa na rafiki yangu moja kwa wiki kama mbili hivi, huyu jamaa, kwa bahati mbaya aliwahi kupata ajali na akaumia sana maeneo ya kichwa, alifanyiwa operation kubwa tu, kwahiyo, kuna wakati anakua anasikia maumivu sana ya kichwa , wakati mwingine anashindwa pata usingizi, hivyo ili kupunguza maumivu , huwa anavuta bangi inampa uwezo wa kulala, kidogo.
Kama pombe yenye madhara lukuki imekubalika kwanini si bangi.
Kaka sio kupinga tu sababu uliambiwa bangi ni mbaya. Wenzio wameleta sababu. Mi naunga mkono hoja ila with reserves.
Naunga mkono bangi ihalalishwe sababu haina madhara kiafya kama ilivyo kwa sigara na pombe, pia inamafaa kwa magonjwa fulani fulani. Ikihalalishwa in a controlled environment inaweza kuzalisha ajira in the entire value chain: mkulima, mfanya biashara wa jumla na mfanyabiashara wa mwisho, yani yume merchant kabisa. Pia bangi ni natural pesticidde inaweza kusaidia katika kilimo, na hata kutuingizia kipato cha carbon credit kwa kupunguza usafirishaji wa pesticides zingine na pollution inayo tokana na hizo pesticide.
Reserve yangu ni kua some people may abuse. Just like pombe kuna watu wakinywa wanashindwa kujicontrol. Tatizo la bangi ni bei yake rahisi. Yani for 5000 worth of beer or bangi tofauti ni kubwa sana, hivo people prone to addiction WILL get addicted na itakua gharama kubwa kuwasaidia.
Hivo ikiwa serikali itaamua kuhalalisha bangi basi tufungue coffee shops, na only watu fulani (ambao criteria zao zitachaguliwa) wataruhusiwa kulima, kuuza, kununua.
Mkuu mkaliwakitaa Mkuu sio Bangi tu ihalalishwe na unga pia uhalalishwe unaonaje? Acha ujinga wako kwa kuwa wewe unavuta hiyo bangi unataka ihalalishwe? kwenda maneno yako ya pumba hayo Bangi haitahalalishwa kamwe nchini Tanzania labda wewe ndio uwe Rais wetu unaweza kuhalalisha vile vilivyoharamishwa.
Unasisitiza upuuzi wako hapa eti Bangi iruhusiwe kwenda thread yako ya kipuuzi hiyo unayo kweli akili wewe? Bangi inapigwa vita Dunia nzima wewe unakuja hapa kuleta utumbo wako eti ihalalishwe bangi hapa kwetu Tanzania? na wewe ukiweza ka google na wewe uweke pumba zako.wewe mpuuzi unaongea nini wewe, unafikiri kila anaetetea jambo analifanya, wewew ndie mjinga unaeleta mada zako za kipuuzi hapa za kugoogle na kijifanya bonge la mjanja mjinga ni wewe na ukoo wenu wote
Mkuu Roulette Na wewe Moderator Mzima unaunga Mkono Bangi Serikali ihalalishe ahhh? Sikutegemea kama utakuwa hivyo ahhhhhKaka sio kupinga tu sababu uliambiwa bangi ni mbaya. Wenzio wameleta sababu. Mi naunga mkono hoja ila with reserves.