Sasa kuna shida gani kwa wafuasi wa CHADEMA kushambulia coment ya Bashe?Kaangalie na comments kwa Hussein Bashe baada ya ku-tweet: "mitano tena kwa Magufuli".
Mbona tuliwashauri hivyo 2015 nyie mkawa kila siku mnajipanga kujadili kingereza cha Magu?Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.
Inasaidia nini maandishi tu mmeogopa kuandamana!Kaangalie na comments kwa Hussein Bashe baada ya ku-tweet: "mitano tena kwa Magufuli".
Tamaa mbaya!Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.
ccm bwana mabeberu wakiwa kwao wanabadilishwa jina, anakuwa mwekezaji,
hiki chama kina watu wa hovyo hovyo sana
Mnachoweza ni vurugu kwenye comment ila mkiambiwa mwende barabarani visingizio haviishiKaangalie na comments kwa Hussein Bashe baada ya ku-tweet: "mitano tena kwa Magufuli".
Gape lenu linazibikaLabda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.
Hivi wewe huna lingine la kufanya zaidi ya kulia lia mtandaoni usiku na mchana?Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.