Acha povu na mihemuko ww, kwasababu mada ni mpira usharuka kwenye dini kisa kufungwa kwa yangaWaarabu ujinga wao unaendana na ile dini yao
Ndio dini ile inavyokutuma kufanya fitinaAcha povu na mihemuko ww, kwasababu mada ni mpira usharuka kwenye dini kisa kufungwa kwa yanga
Wajinga ni nyie kufungwa kwenu alafu mkataka kwenda kuchukua kombe kwenye ardhi ya watu! Hata ningekuwa Mimi ningefanya fitna na figisu libaki kwangu, kwanini upotezee nyumbani kwako goal mbili
Mada ni ball boys wa uarabuni na sio dini.Waarabu ujinga wao unaendana na ile dini yao
Hili swali na mie nimejiuliza nahisi kuchanganyikiwa..Mm nashangaa kwann mpaka sasa sijasikia timu yyte kutoka uarabuni ikipigwa faini ama uwanja kufungiwa maana wanafanya Fujo za wazi kabisa mbona Yanga juzi kati tu hapa vijifataki tuwili tukasikia faini kwann sio uarabuni?
Mashabiki wa mpira wa tz watu wa hovyo sana unaitaje wapinzani wa yanga ni wepesi wakati walipimwa kwa vigezo sawa.mkishirikiana na hao waandishi wenu wanaojazana studio kuongea ujinga kutwa nzima mna akili za hovyo sana. Hizi kauli easy way mbona hatujazisikia wakati simba wanachoma ubani kule SA?Sina maneno mengi ila tu kutoa appreciation kwa wataalam, wakongwe na wachambuzi wa soka hapa jf kama Greatest Of All Time ,Scars ,GENTAMYCIME na wengineo, sjui hasa ni nani ila nilicho na uhakika kuna member mmoja humu jf aliuliza swali katika thread za yanga dhidi ya USM Alger, aliuliza kuwa" hivi mnawajua ball boys wa waarabu?"
Akaendelea kusema kwa kuwaambia mashabiki wa yanga kuwa hawataamini watakavyofanyiwa na hawa vijana waokota mipira wa kiarabu, na alitabiri figisu nyingj ambazo kimsingi kisoka letu la Africa ni katika mbinu za kuwin michezo tushazoea fitna
Kiukweli kuna watu jf ukiwafuatilia vizuri utajifunza mengi kwenye soka yaani ni wanajua wala hawabahatishi katika kufanya analysis, matokeo huwa ni utabiri na Mara nyingi huwa tunafanya analysis na sio utabiri, tunafaidika na nyie kwakweli na tunatambua sana uwepo wenu
Namuombea young Africans ashiriki caf champions league msimu ujao akutane na giant teams kuna kitu atakipata maana path yake kuelekea final it was too easy the truth they don't want to admit
Naweza sema kwa msimu huu 2022-2023 team kubwa ambayo yanga kacheza nayo ni simba tu, najua hawawezi likubali hili ila ni kweli.
Spain juzi tu vincious kabaguliwa Bali si yeye tu imekuwa ni kawaida, pia kwasababu ulaya wakristo ni wengi tutasema ukristo umewatuma hivyo???Ndio dini ile inavyokutuma kufanya fitina
Tukisema easy way tafsiri yake bado tunarudisha heshima kwa yanga, yaani tunaamini yanga hakukutana na wakubwa wenzie wakumpa challenge, tunaamini yanga ni bora sana kuliko aliocheza naoMashabiki wa mpira wa tz watu wa hovyo sana unaitaje wapinzani wa yanga ni wepesi wakati walipimwa kwa vigezo sawa.mkishirikiana na hao waandishi wenu wanaojazana studio kuongea ujinga kutwa nzima mna akili za hovyo sana. Hizi kauli easy way mbona hatujazisikia wakati simba wanachoma ubani kule SA?