Hi cm natumia tecno k7 cjui ina matatizo gan yan nikiwa natuma txt za kawaida hazitoki nikiwa nimeeka neno sex yan ni matatizo matupu cjui ata nifanyaje nikitaka kuomba show nikiandika tu sex txt haitok naombe msaada wa kujuzwa kama hili balaa linanipata mm tu au wote humu