M mono92 Member Joined Sep 23, 2013 Posts 11 Reaction score 0 Oct 8, 2013 #1 Bajaji aina ya PIAGGIO inauzwa na bei yake ni poa na maelewano ipo katika hali nzuri kwa muhitaji nicheki kwenye 0716749125
Bajaji aina ya PIAGGIO inauzwa na bei yake ni poa na maelewano ipo katika hali nzuri kwa muhitaji nicheki kwenye 0716749125
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,099 Reaction score 438 Oct 8, 2013 #2 Bajaj ni ya mwaka gan na umetumia kwa muda gani?gharama ikoje na je unampa mtu uhakika wa muda gani kua haitomsumbua?
Bajaj ni ya mwaka gan na umetumia kwa muda gani?gharama ikoje na je unampa mtu uhakika wa muda gani kua haitomsumbua?
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Oct 9, 2013 #3 jashmoe32 said: Bajaj ni ya mwaka gan na umetumia kwa muda gani?gharama ikoje na je unampa mtu uhakika wa muda gani kua haitomsumbua? Click to expand... Haya maswali nna uhakika mengine hayana majibu unayoyataka
jashmoe32 said: Bajaj ni ya mwaka gan na umetumia kwa muda gani?gharama ikoje na je unampa mtu uhakika wa muda gani kua haitomsumbua? Click to expand... Haya maswali nna uhakika mengine hayana majibu unayoyataka
M mono92 Member Joined Sep 23, 2013 Posts 11 Reaction score 0 Oct 9, 2013 Thread starter #4 ina two years ............bt ni imara kwasababu ni piaggio na siyo tvs...........bei makubaliano but 3m itaniridhisha ....kuhusu muda wa kusumbua inategemea na dereva ...kwasababu hivi ni vyombo vya moto but nauhakika itakulipa ndani ya muda mfupi
ina two years ............bt ni imara kwasababu ni piaggio na siyo tvs...........bei makubaliano but 3m itaniridhisha ....kuhusu muda wa kusumbua inategemea na dereva ...kwasababu hivi ni vyombo vya moto but nauhakika itakulipa ndani ya muda mfupi
NDUKI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 3,440 Reaction score 2,452 Oct 9, 2013 #5 mono92 said: Bajaji aina ya PIAGGIO inauzwa na bei yake ni poa na maelewano ipo katika hali nzuri kwa muhitaji nicheki kwenye 0716749125 Click to expand... 'chukua moja na nusu mkuu tena ni chap kwa haraka kiongozi...'
mono92 said: Bajaji aina ya PIAGGIO inauzwa na bei yake ni poa na maelewano ipo katika hali nzuri kwa muhitaji nicheki kwenye 0716749125 Click to expand... 'chukua moja na nusu mkuu tena ni chap kwa haraka kiongozi...'
M mono92 Member Joined Sep 23, 2013 Posts 11 Reaction score 0 Oct 10, 2013 Thread starter #6 kwa bei hiyo hapana ........2.7 is the real price
S Subbi Senior Member Joined May 3, 2013 Posts 115 Reaction score 22 Oct 10, 2013 #7 namba yake ya usajiri ikoje? T...