we upo mkoa gani mkuu?? unahitaji bei ya bajaji mpya au used? Mchina au za India?? Pia nakushauri uende kariakoo mwenyewe kuliko kuulizia ilikhari upo Dar hapa hapa, kwani itakupa experience, uchaguzi mzuri wa bidhaa bora na kufanya maamuzi zaidi ya manunuzi yako.