Bajaj TVS King Inauzwa bei Nafuu

Bajaj TVS King Inauzwa bei Nafuu

Cards Fantasy

Senior Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
192
Reaction score
111
Habari za leo wanajukwaa, nauza bajaj yangu aina ya TVS King ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu. nimemnyang'anya dereva jumapili iliyopita maana sound zimekuwa nyingi na haleti hela. nimeipaki tu kwa ndugu yangu.

Ina viibali vyote , apart from bima imeisha tarehe 29/07. inshort imekamilika. haijawahi kufunguliwa engine wala kurudiwa rangi. Hapa nna picha chache, nyingine ntazipiga baadae au ukihitaji whats app ntakutumia.

Bei ni Tsh 3,500,000/- kama upo serious kwa bei hii ni ya kuikimbilia hii bajaj.

Mawasiliano yangu mimi Mmiliki :- 0752 981 380 (Whatsapp)

Ndugu yangu coz mm nakuwa busy na kazi :- 0659 960 634

Bajaj Ipo Tandika Magorofani. Karibuni Sana.

NB. Nimebadilisha tyres wiki 3 zilizopita, so ina matairi yote mapya. Inshort ipo vzr kila idara, Baadae ntaongeza pics now nna hizi chache coz nipo ofisini.

Upadates za picha.
IMG-20180807-WA0012.jpg

IMG-20180807-WA0013.jpg

IMG-20180807-WA0015.jpg

IMG-20180807-WA0016.jpg

IMG-20180807-WA0021.jpg
 
Attachments

  • IMG-20180807-WA0014.jpg
    IMG-20180807-WA0014.jpg
    74.8 KB · Views: 166
  • IMG-20180807-WA0018.jpg
    IMG-20180807-WA0018.jpg
    92.3 KB · Views: 162
  • IMG-20180807-WA0019.jpg
    IMG-20180807-WA0019.jpg
    78.2 KB · Views: 148
  • IMG-20180807-WA0022.jpg
    IMG-20180807-WA0022.jpg
    67.6 KB · Views: 142
Habari za leo wanajukwaa, nauza bajaj yangu aina ya TVS King ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu. nimemnyang'anya dereva jumapili iliyopita maana sound zimekuwa nyingi na haleti hela. nimeipaki tu kwa ndugu yangu.

Ina viibali vyote , apart from bima imeisha tarehe 29/07. inshort imekamilika. haijawahi kufunguliwa engine wala kurudiwa rangi. Hapa nna picha chache, nyingine ntazipiga baadae au ukihitaji whats app ntakutumia.

Bei ni Tsh 3,500,000/- kama upo serious kwa bei hii ni ya kuikimbilia hii bajaj.

Mawasiliano yangu mimi Mmiliki :- 0752 981 380 (Whatsapp)

Ndugu yangu coz mm nakuwa busy na kazi :- 0659 960 634

Bajaj Ipo Tandika Magorofani. Karibuni Sana.

NB. Nimebadilisha tyres wiki 3 zilizopita, so ina matairi yote mapya. Inshort ipo vzr kila idara, Baadae ntaongeza pics now nna hizi chache coz nipo ofisini.
View attachment 829442
View attachment 829443
View attachment 829444
Nipatie kwa mkataba boss hesabu ya uhakika
 
Upo serious mkuu? unaihitaji kuinunua kwa sh ngap apart from hilo wazo la mkataba japo ni zuri pia. issue ya usimamizi na kupasuana kichwa ndo naikataa mkuu.
Ninahitaji bajaji kwa ajili ya kazi,hesabu nitakupa kwa wiki in advance yaani nakuwa nakupa kabla every week kama hutojali mkuu,angalau tulegeze vyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom