Bajaj T349 BHB inauzwa 3.5M

Bajaj T349 BHB inauzwa 3.5M

DONALD

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
275
Reaction score
35
Bajaj imekosoka dereva,aliyekuwa nayo kapata gari ...Sasa inauzwa ipo kigamboni kibugumo...0685 779278 bei tutaelewana tu...imefanyiwa service kabisa inasubiria mteja..Ina full vibari...kadi original ipo....piga simu au tuma massage....
IMG-20220404-WA0007.jpg
IMG-20220404-WA0006.jpg
 
Ingekuwa # C mkuu tungeweza kufanya kitu but nakutakia mafanikio kwenye uuzaji wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom