tunaomba namba za simu ili tujue mnapatikana vipiWana JF tunatoa bajaj na piki piki kwa mkopo wa miaka miwili na kuendelea.
Kwa muajiriwa anaetaka hizo mkopo
1. Awe na kitambulisho cha kupiga kura na ya sehemu anayofanya kazi
2. Barua kutoka kwa muajiri wake kuonesha anafanya kazi sehemu husika
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. Na deposit ya kiasi flani tutakayoelewana
N.K kama na TIN number itakuwa vizuri kuleta
Kwa mfanyabiashara
1. Lesini za biashara anayoifanya
2. Kitambulisho
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. TIN number
5. Deposit ya kuanzia
Kwa yeyote anaehitaji ani PM kwa maelezo zaidi.
tunaomba namba za simu ili tujue mnapatikana vipi
Makato ni asilimia 15 mpaka 20... malipo utachangua ww utalipa kwa njia gani.. tupo Dar es salaammakato ni kias gani, na mfanyakazi atakatwa katika mshahara wake au atalipa kwa namna kama ya mfanyabiashara..pia deposit ni asilimia ngapi na mpo mkoa gani
Pikipiki aina gani na mkulima naweza faidi pia mkopo huo? Na masharti yake yakoje?
Wana JF tunatoa bajaj na piki piki kwa mkopo wa miaka miwili na kuendelea.
Kwa muajiriwa anaetaka hizo mkopo
1. Awe na kitambulisho cha kupiga kura na ya sehemu anayofanya kazi
2. Barua kutoka kwa muajiri wake kuonesha anafanya kazi sehemu husika
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. Na deposit ya kiasi flani tutakayoelewana
N.K kama na TIN number itakuwa vizuri kuleta
Kwa mfanyabiashara
1. Lesini za biashara anayoifanya
2. Kitambulisho
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. TIN number
5. Deposit ya kuanzia
Kwa yeyote anaehitaji ani PM kwa maelezo zaidi.
Wana JF tunatoa bajaj na piki piki kwa mkopo wa miaka miwili na kuendelea.
Kwa muajiriwa anaetaka hizo mkopo
1. Awe na kitambulisho cha kupiga kura na ya sehemu anayofanya kazi
2. Barua kutoka kwa muajiri wake kuonesha anafanya kazi sehemu husika
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. Na deposit ya kiasi flani tutakayoelewana
N.K kama na TIN number itakuwa vizuri kuleta
Kwa mfanyabiashara
1. Lesini za biashara anayoifanya
2. Kitambulisho
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. TIN number
5. Deposit ya kuanzia
Kwa yeyote anaehitaji ani PM kwa maelezo zaidi.
Nipe namba yako nikueleweshe mkuuMimi niko mwanza na ninahitaji huo mkopo wa pikpik kwa hyo nafanyaje?
Mimi niko mwanza na ninahitaji huo mkopo wa pikpik kwa hyo nafanyaje?
Atoe maelezo hapa kwann anakimbilia kumpm pana nn hapa
Una matatizo kama unataka maelezo zaidi kuna namba ya unaweza kupiga
makato yanategemea na aina ya mkopo unakayochukua
kuna kaharufu cha utapeli hapa
Wanatoa Sanlag kibao cha mbuizi kwa shilingi 1700000 ambapo utadeposite 500,000 kwanza hivyo kama ukilipa na riba ya 20% ya 2040000 ambapo kila mwezi utapaswa kupeleka 82000 kwa miezi 24 utakuwa unemaliza deni.