Baiskeli ya mtoto

Joined
May 29, 2014
Posts
83
Reaction score
23
Baiskeli hii inatumika na watoto kuanzia umri wa mwaka hadi miaka minne. Wakati wakiwa wadogo wanaendeshwa na mtu mzima ila baada wanaendesha wenyewe. Bei ni 60000. Imetumika ila ipo kwenye hali nzuri. Tuwasiliane 0625833222
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…