Bahati Nasibu ya US$500

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Baada ya bahati nasibu ya Marekani inayojulikana kama "powerball" imevuka $500 milioni baada ya kukosa mshindi awali. Zawadi hupanda kama hamna mshindi. Wamarekani wengi wamepanga mstari mrefu kununua bahati zao japokuwa chance ya ushindi ni moja katika milioni 175.

Kama mtu akishinda, ukitaka $500 yote, malipo yanagawanywa mara 30 kwa miaka 29 au ukitaka kwa mkupuo, unapewa $337 milioni kabla serikali kukata kodi ya $135 milioni.


Source:BBC
 
[h=1]Puerto Rico, North Carolina, Texas tickets win Powerball.[/h]
 
A lot of money, mwaka juzi mama mmoja toka Canada alishinda $70m.
 
Canada hamna kodi lakini ushindi ni ndogo. Marekani Mikoa mingi inajiunga kuuza ticket.
 
Bahati nasibu mara nyingi huwa haifanikishi watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…