Wezi wa nazi na mihogo!Kwa wale waliosoma bss 1974-1977
Mi bado nipo .tusalimiane.
Halafu tumkumbuke Mwl mgwadu
(Kilimo,)Mwl mtunze (math ),mwl uronu(physics), mwl mazengo(geography) 2nd master halow nikikusingout
wacheza Mpira
1) kipa -Olambo sasi
2) Ones mwakalulu
3)Half a irunga
4)Hassan hatibu
5)Mwitebela
6)Ambakisye
7)Michael kimweri
9)Toma's kiduda
10)Best a mzaramo
11) haji ninga
Wakwezi was minazi mashuhuri
1) amani mrimbo
2)charles mkasanga
3)Audax nkoko
4) peter ishengoma.
Wezi nawajifadhi
dogo ulikuwa comb gani??????Da mm nmepita hapo advance 2014-2016
Nmepiga PCB hapo now nipo st.Joseph hapa nakula MDdogo ulikuwa comb gani??????
Mzeee wa Kwenda kuwafurumua wanafunzi kwenye ile clabu ya Hunters..... Unakumbuka na yale maandamano mpaka watu wakatimuliwa walipofika Mwanamakuka wakielekea halmshauri?? Noma sanaUnamkumbuka mwalimu Abeli kitungwa a.k.a Bingwa au wewe umemaliza mwaka gani tuanzie hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
tembelea www.bagamoyo.sc.tz kuna updates za wana bagamoyoHello wana-Bagamoyo, nimefurahi kuungana nanyi. Mimi ni mmoja wa waanzilishi wa Basesco (tulivyokuwa tunaiita) tuliomaliza 1975. Post ya Vivax hapo juu ya Dec 2016 imenikumbusha majina. Sijui kama mnafahamu kuwa huyo Audax Nkoko mpaka mara ya mwisho nakutana naye kama miaka 10 iliyopita alikuwa anafanyia soko la (mahakama ya) ndizi pale Urafiki.
Ninawakumbuka akina Leonard Chegere (Misitu - Same), Mathias Mhangwa au Kahyolo, alikuwa International Red Locust Control for Africa (Tabora station), John Kinenekejo, Mwanilanga, Alphonce Mang'ombe, marehemu Thomas Ngahulira - RIP, Walter Mbelwa, Hubert Walwa, Francis Madembwe, Kiyumbi Mkatakona (mara ya mwisho alikuwa Morogoro/Tabora RETCO), Jeremiah Yohana, Samweli Dotto, William Tuna Mzuma (kastaafu, yuko Mwanza), marehemu Boaz Mwampelwa, marehemu Peter Lutashumururwa Ishengoma (alifariki 1987), Azza, Kiorogwe, Salum Masanja (Kiranja Mkuu), Manyama Saasita, Christopher Nyerembe, Samweli Dotto, n.k.
Nawakumbuka waalimu wetu wapendwa: Ambangile Mwambungu - yupo Mwananchi Publications Dar, Kamwela, Kassi (alikuwa Headmaster) kabla ya akina Mazengo. Mwl Mngwadu alinifundisha lakini baadaye nikamfundisha Diploma ya Kilimo - Ukiriguru, Sangiwa, Mama Jumaa (nadhani baadaye walikuja oana na Mazengo), Mzee Ngulangwa (mara ya mwisho alikuwa anafundisha Lugalo Sekondari), na wengineo.
Jamani tufanye mpango tukutane huko baharini hata kwa masaa machache.
Mimi kwa sasa natumikia Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) lakini niko wazi kujumuika na wana-Bagamoyo siku yoyote ikipangwa.
Niwatakie kila la heri, Mungu awabariki!!
"Trained bulls never forget their yokes"
wewe ni mkongwe. Mazengo alikuwa HM wangu adv. 2003-05Hello wana-Bagamoyo, nimefurahi kuungana nanyi. Mimi ni mmoja wa waanzilishi wa Basesco (tulivyokuwa tunaiita) tuliomaliza 1975. Post ya Vivax hapo juu ya Dec 2016 imenikumbusha majina. Sijui kama mnafahamu kuwa huyo Audax Nkoko mpaka mara ya mwisho nakutana naye kama miaka 10 iliyopita alikuwa anafanyia soko la (mahakama ya) ndizi pale Urafiki.
Ninawakumbuka akina Leonard Chegere (Misitu - Same), Mathias Mhangwa au Kahyolo, alikuwa International Red Locust Control for Africa (Tabora station), John Kinenekejo, Mwanilanga, Alphonce Mang'ombe, marehemu Thomas Ngahulira - RIP, Walter Mbelwa, Hubert Walwa, Francis Madembwe, Kiyumbi Mkatakona (mara ya mwisho alikuwa Morogoro/Tabora RETCO), Jeremiah Yohana, Samweli Dotto, William Tuna Mzuma (kastaafu, yuko Mwanza), marehemu Boaz Mwampelwa, marehemu Peter Lutashumururwa Ishengoma (alifariki 1987), Azza, Kiorogwe, Salum Masanja (Kiranja Mkuu), Manyama Saasita, Christopher Nyerembe, Samweli Dotto, n.k.
Nawakumbuka waalimu wetu wapendwa: Ambangile Mwambungu - yupo Mwananchi Publications Dar, Kamwela, Kassi (alikuwa Headmaster) kabla ya akina Mazengo. Mwl Mngwadu alinifundisha lakini baadaye nikamfundisha Diploma ya Kilimo - Ukiriguru, Sangiwa, Mama Jumaa (nadhani baadaye walikuja oana na Mazengo), Mzee Ngulangwa (mara ya mwisho alikuwa anafundisha Lugalo Sekondari), na wengineo.
Jamani tufanye mpango tukutane huko baharini hata kwa masaa machache.
Mimi kwa sasa natumikia Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) lakini niko wazi kujumuika na wana-Bagamoyo siku yoyote ikipangwa.
Niwatakie kila la heri, Mungu awabariki!!
"Trained bulls never forget their yokes"
NILIKUWA SIJUI KAMA NI SHULE PEKEE INAYOMILIKI BEACH, JAPO NAJAUA INAMILIKI BEACH. NILIKUWA HAPO A-LEVEL 2005-2007Wadau mlosoma shule pekee inayomilik ufukwe dunian mje hapa tukumbushane stori za magambani.
Sent from koromije using bashite