sobber Member Joined Nov 7, 2012 Posts 17 Reaction score 1 Nov 10, 2012 #1 Hekima ingehitajika sana kutatua mgogoro baina ya walimu na mkuu wa shule-kutojali maisha binafsi,familia za walimu mgogoro baina ya wanafunzi wote na mkuu wa shule-mkuu washule kuwakumbatia wanafunzi, ambao baadae hugeukana mgogoro kati ya mkuu na bodi ya shule-utendaji usioaminiana, mkuu wa shule kujiona mjuaji mgogoro kati ya mkuu wa shule na idara za elimu-wilayani-nani zaidi ya nani. mgogoro baina ya walimu na ofisi ya DEO-kuchana barua za walimu kwenye mafaili/majarada yao/ walimu, msihangaike kupeleka tume dhaifu kuchunguza, peleka wataalam.
Hekima ingehitajika sana kutatua mgogoro baina ya walimu na mkuu wa shule-kutojali maisha binafsi,familia za walimu mgogoro baina ya wanafunzi wote na mkuu wa shule-mkuu washule kuwakumbatia wanafunzi, ambao baadae hugeukana mgogoro kati ya mkuu na bodi ya shule-utendaji usioaminiana, mkuu wa shule kujiona mjuaji mgogoro kati ya mkuu wa shule na idara za elimu-wilayani-nani zaidi ya nani. mgogoro baina ya walimu na ofisi ya DEO-kuchana barua za walimu kwenye mafaili/majarada yao/ walimu, msihangaike kupeleka tume dhaifu kuchunguza, peleka wataalam.