the charity payment will go to tanzania.
story from bbc news: http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/1/hi/business/8500535.stm
published: 2010/02/05 15:35:36 gmt
© bbc mmx
Fresh reminder. How much did we buy the radar for and how much "charity" money is Tanzania getting?
Kwa ufupi case closed!
The charity payment will go to Tanzania.
Sisi tumeibiwa, tumedhulumiwa....tunaishia kupewa haki yetu sisi wenyewe kama CHARITY? ....
Kama hii kampuni imekuwa convicted US kwa nini sisi tunashindwa kupiga kitanzi wakati makosa yaliyofanywa TZ ni sawa na yale ya US?
Kesi hii ikianza Tanzania Wakina Mkono peke yao kama Mawakili wa Serikali watachukua hiyou £30 Million.
Bora yaishe tuchukue Charity tukajenge mahekalu kule Masaki, si unaona viwanja vimeshapimwa..!!
Yebo yebo umenichekesha sana hapo kny blue, umenikumbusha ile kesi ya Management ya City water vs URT ambayo nadhani ilifika hadi kny International Court of Arbitration, hawa kina Mkono walishia kulamba bingo karibu sawa na compensation ambayo City water walikuwa wanadai! ukienda BOT yale yale.......!
'In connection with the sale of a radar system by the company to Tanzania in 1999, the company made commission payments to a marketing adviser and failed to accurately record such payments in its accounting records.'
He added that the company 'failed to scrutinise these records adequately to ensure that they were reasonably accurate and permitted them to remain uncorrected'.
Yani kosa ni improper accounting practices not paying bribes to a poor countries govt officials to get deals?? Mbaya wetu nadhani tunamjua na sio chenge wala serikali ya mkapa! Hawa wazungu ndo wachawi wetu...upande mmoja wanajifanya afrika corrupt upande mwingine waingia kama BAE...UK government is the biggest shareholder of BAE!!
Look at this! Sisi wakuliwa tu au? Out of 450m USD?
BAE will pay the 30 million pounds as a charitable payment for the benefit of Tanzania.