Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Umemshtukia eeh, ndo mwenyewe huyo. Tangaza dau usizuge mrembo tukiona tunaweza tutaomba namba.Unaponda wakati huo huo unawatangaza na kuomba uombwe namba pm?
umekuja kuwafanyia promo?au ni wewe mwenyewe ?
Kwa hyo umebeba magonjwa huko unakuja kuuleta kwa wenzio sio??
Dau ndio limenikimbiza mkuu
Badoo ain't facebook,Badoo is only for dating
Dau ndio limenikimbiza mkuu
iweke hapa tuithaminisheItakuwa poa,maana kwa picha 2 mtoto ni balaa