Unfortunately amechukua Mauricio Pochettino,
Ni shabiki wa Manchester United no matter results, lakini kwa suala la DM kuwa viwango vya United bado nasubiri ani-prove wrong....Mwaka huu sijaweka hope ya Ku-achieve chochote, lakini kama DM anaweza kujipanga na kumudu "demands" za club kubwa kama United that will be great of him
Kwa mbali naona naona legacy ya Scourses aka "Looserpool" inanukia Old Trafford....God Forbid