Bado natafuta mpenzi wa kike

Hatare sn hii. Uko tayari kupima?
 
aaa hivi medical laboratory ndio laboratory technician..???
 
Hapo kwenye mapenzi ya dhati kwa kweli ni ngumu sana, inabidi hadi mtakapokuwa pamoja kwa kipindi ndipo utakapojua kama ni ya dhati au mabobish.

Haya, mafanikio mema
 
Jielezee vizuri..je una gari?nyumba je unayo?teh teh teh
 
Mbona unajitetea sana, kupigwa mizinga ni MUST. Njia nyngne hakuna tena maana unahitaj mke!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…