Queen sasha
Member
- Nov 9, 2016
- 17
- 18
sure angesema alisomea nnUna diploma ya nn ulichosomea
Mpe mtaji basi mkuu.yeye ana shidaUnatafuta kuliwa wewe, siuze vitumbua mbona utapata pesa nyingi mpk ushangae.
Ni ujinga kuomba upewe pesa ya kuuza vitumbua, anashindwa kuazima elfu 20, kwa braza, dada, mjomba, aunt, mama/baba mdogo akauza akapata faida akarudisha pesa yao??Mpe mtaji basi mkuu.yeye ana shida
Mkuu inawezekana amekosa ndiyo maana anaomba kazi ili apate mtaji . anyway ngoja aje ajitetee mwenyewe nisije kumsemea mtuNi ujinga kuomba upewe pesa ya kuuza vitumbua, anashindwa kuazima elfu 20, kwa braza, dada, mjomba, aunt, mama/baba mdogo akauza akapata faida akarudisha pesa yao??
Huyu sasa atakuwa amekosa sifa ya kuumbwa binadam bora angeumbwa mbuzi ijulikane, mtu na elimu ya diploma unakosaje creativity ya kuanza small project kama hiyo??Mkuu inawezekana amekosa ndiyo maana anaomba kazi ili apate mtaji . anyway ngoja aje ajitetee mwenyewe nisije kumsemea mtu
Kuhusu biashara ndogo nafanya lakini naona mahitaji ni mengi kuliko kipatoNi ujinga kuomba upewe pesa ya kuuza vitumbua, anashindwa kuazima elfu 20, kwa braza, dada, mjomba, aunt, mama/baba mdogo akauza akapata faida akarudisha pesa yao??
Naomba nikuache maana dunia inamengi na mwenye shibe hamjui aliye nanjaa siwezi kukueleza matatizo yangu please kama wewe umepata usidharau wenzakoHuyu sasa atakuwa amekosa sifa ya kuumbwa binadam bora angeumbwa mbuzi ijulikane, mtu na elimu ya diploma unakosaje creativity ya kuanza small project kama hiyo??
Nafanya biashara ndogo ndogo lakini bado haijakidhi mahitaji yangu......asante wewe ni unautuMkuu inawezekana amekosa ndiyo maana anaomba kazi ili apate mtaji . anyway ngoja aje ajitetee mwenyewe nisije kumsemea mtu
Development planningUna diploma ya nn ulichosomea
Development planningsure angesema alisomea nn
KaribuNafanya biashara ndogo ndogo lakini bado haijakidhi mahitaji yangu......asante wewe ni unautu
Tukisema kila mtu aandike mapito yake utashangaa nakujiona unamkufuru Mungu kwa yote unayolalamikia, kuajiriwa hakika hakujawahi maliza matatizo ya pesa!Kuhusu biashara ndogo nafanya lakini naona mahitaji ni mengi kuliko kipato
Naomba nikuache maana dunia inamengi na mwenye shibe hamjui aliye nanjaa siwezi kukueleza matatizo yangu please kama wewe umepata usidharau wenzako
Njoo nikuoe....
Umenena maana now nitaji nje nje...Ni ujinga kuomba upewe pesa ya kuuza vitumbua, anashindwa kuazima elfu 20, kwa braza, dada, mjomba, aunt, mama/baba mdogo akauza akapata faida akarudisha pesa yao??
acha kutumia lugha za maudhi mkuu umesoma lakini haujastaarabika, unamawzo mazuri lkn uwasilishaji wako niwa kibashite, hakuna mfanya biashara mwenye lugha za kejeli na maudhi kama izo zako. kama huwezi kuchangia pasipo kumkera mtu ungepiga kimiaTukisema kila mtu aandike mapito yake utashangaa nakujiona unamkufuru Mungu kwa yote unayolalamikia, kuajiriwa hakika hakujawahi maliza matatizo ya pesa!
Badili mtazamo wako, tafuta kijipesa kidogo anza biashara, fanya research uuze vitumbua asubuhi na jioni uone kama hutapata zaidi ya laki 6 kwa mwezi. Shida yenu mnapenda mteremko mno mumezoea kuishi kwa pesa za wanaume.
Badirika mdada, jitume acha usister duu, tatizo lako unaangalia status yako badirika chapa kazi, hicho kijidiploma chako kisikutie kiburi mimi nauza genge na degree yangu vyeti nimetupa kapuni.