Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,639
- 19,307
Asante kwa maelezo yako mkuu, nadhani wamarekani wapo vizuri sasa hivi kwa kushirikiana na Israel japo ilikua hivyo toka zamaniIssue ni kuwa,Warusi walikuwa hawaingiliki kirahisi,sababu ni jamii tofauti na magharibi,na hivyo kuinsert asset katika soviet ilikuwa ngumu zaidi kuliko warusi kujiingiza nchi kama marekani,
Mrusi angeweza kukimbilia marekani kwa kisingizio kama mkimbizi,kumbe ni agent.
Pia mrusi alikuwa ananunua sana ma agents kwa kuwafanya wawe double agents wa kuwaletea information,
Walichokuwa wanazidiwa wamarekani ni Humint ,
Lakini kwa dunia mzima,kwa mambo ya kijasusi kwasasa marekani anatisha.
Has a kwa Electronics intelligence,ELINT,SIGINT
Majibu ni ngumu sana kuyapata kwa maneno ila kwa vitendo na nyia nyepesi sana.ni ngumu sana kujua technologia ya warusi kwa sababu ni watu wenye usiri mkubwa sana katika nchi yaoIssue ni kuwa,Warusi walikuwa hawaingiliki kirahisi,sababu ni jamii tofauti na magharibi,na hivyo kuinsert asset katika soviet ilikuwa ngumu zaidi kuliko warusi kujiingiza nchi kama marekani,
Mrusi angeweza kukimbilia marekani kwa kisingizio kama mkimbizi,kumbe ni agent.
Pia mrusi alikuwa ananunua sana ma agents kwa kuwafanya wawe double agents wa kuwaletea information,
Walichokuwa wanazidiwa wamarekani ni Humint ,
Lakini kwa dunia mzima,kwa mambo ya kijasusi kwasasa marekani anatisha.
Has a kwa Electronics intelligence,ELINT,SIGINT
Thanks mkuu ni FSBShirika la Ujasusi la Russia ni FSB.
Kama waliweza kuingilia electoral systerm za marekani jiulize hao watu wapo vipi katika upande wa systerm.maana kila mtu anajua vizuri uwezo wa marekani katika upande wa systerm.Asante kwa maelezo yako mkuu, nadhani wamarekani wapo vizuri sasa hivi kwa kushirikiana na Israel japo ilikua hivyo toka zamani
Lakini kwanini Urusi inapoingilia kati jambo ambalo Marekani inalifanya US wana compromise au wanarudi nyuma kama issue ya Syria?
Inafikaga tu mahali,marekani wanajishitukia,mfano Syria ni mshirika wa Russia toka zamani,Asante kwa maelezo yako mkuu, nadhani wamarekani wapo vizuri sasa hivi kwa kushirikiana na Israel japo ilikua hivyo toka zamani
Lakini kwanini Urusi inapoingilia kati jambo ambalo Marekani inalifanya US wana compromise au wanarudi nyuma kama issue ya Syria?
Mkuu dunia nzima ujasusi si namba mojaMmarekani, Pakistan kamzidii, orodha ya kijasusi wanaongoza duni ni ISI ya Pakistan ndiyo inaongoza.Issue ni kuwa,Warusi walikuwa hawaingiliki kirahisi,sababu ni jamii tofauti na magharibi,na hivyo kuinsert asset katika soviet ilikuwa ngumu zaidi kuliko warusi kujiingiza nchi kama marekani,
Mrusi angeweza kukimbilia marekani kwa kisingizio kama mkimbizi,kumbe ni agent.
Pia mrusi alikuwa ananunua sana ma agents kwa kuwafanya wawe double agents wa kuwaletea information,
Walichokuwa wanazidiwa wamarekani ni Humint ,
Lakini kwa dunia mzima,kwa mambo ya kijasusi kwasasa marekani anatisha.
Has a kwa Electronics intelligence,ELINT,SIGINT
Aliecompose hiyo atakuwa anaotaMkuu dunia nzima ujasusi si namba mojaMmarekani, Pakistan kamzidii, orodha ya kijasusi wanaongoza duni ni ISI ya Pakistan ndiyo inaongoza.
Top 10 Most Powerful Intelligence Agencies In The World 2018
Uchambuzi wako uko makini sana mkuu. Kwa hiyo hao jmaa wanawekeana tu heshima ingawa Marekani wakati mwingine inataka kujionyesha kwa mataifa mengine kua hawana Taifa wanaloliogopaKisha ghafla,wakashitukia mrusi kashusha ndege za kivita hapo ,Syria bila hats kuziona zimepita wapi,
Inakuwa ngumu sasa kwa marekani kuendelea na kampeni ya kumtoa Assad,kwa kuhofia kugongana na mrusi
Tena huyo Marekani kapanda mwaka huu hadi namba mbili, alishika nafasi ya nne. ISI ya Pakistan akiongoza, akafuatia RAW ya India, akaja MOSSAD ya Israel ndiyo ikaja CIA.Aliecompose hiyo atakuwa anaota
Na mimi nilikua nashaangaa, hiyo Pakistan ina nini cha zaidi? Technolojia anampita Marekani? Mbona kuna oparations zingine za kijasusi hua zinafanywa na Marekani ndani ya Pakistani na wenyewe hawajui, wakija kushtuka wenzao washamliza mission yaoAliecompose hiyo atakuwa anaota
Pamoja NduguThanks mkuu ni FSB
MOSSAD na CIA oparations zao over the years zinajulikana na hata missions walizo zi accomplish successfully zinajulikana.Tena huyo Marekani kapanda mwaka huu hadi namba mbili, alishika nafasi ya nne. ISI ya Pakistan akiongoza, akafuatia RAW ya India, akaja MOSSAD ya Israel ndiyo ikaja CIA.
Wanaume wa kazi hawana tambo za media wao ni kimyakimya
Mmarekani anaongoza kelele za kwenye media tu ila si ujasusi, ingia mtandaoni tafuta list zote za vyanzo vya kuaminika. ISI ndiyo namba moja.Na mimi nilikua nashaangaa, hiyo Pakistan ina nini cha zaidi? Technolojia anampita Marekani? Mbona kuna oparations zingine za kijasusi hua zinafanywa na Marekani ndani ya Pakistani na wenyewe hawajui, wakija kushtuka wenzao washamliza mission yao
Kwani hao ISI mission zao hazijulikani?MOSSAD na CIA oparations zao over the years zinajulikana na hata missions walizo zi accomplish successfully zinajulikana.
Its conspired kua hata kuanguka kwa iliyokua USSR kuna mkono wa CIA katika longtime mission plans zao ambapo watu wanawaguna guna kina Mikhail Gorbachev na Boris Yeltsin walioanzisha Glasnost na Perestroika zilizoisambaratisha USSR walikua wakifanya kazi kwa maslahi ya America
Sasa kuilinganisha ISI na CIA au MOSSAD nadhani si sawa mkuu