frankfrut_
Member
- Apr 24, 2015
- 20
- 8
Watanzania wengi tunakosa haki za msingi kwa kutokujua sheria pamoja na mfumo gandamizi unaotumika kwa wapigania haki! Still there is hope, we can win the battle of human right sAfadhali yako wee upo kwenye payrol unadai kuongezewa mshahara, kuna wengine hata hiyo ajira hawana.
Ila mna haki kama sheria inaruhusu kuongezewa, ni haki yenu.
Ninachojiuliza wastaafu waliokuwa waongezewe kamshara angalau kwenye maisha yao ya uzeeni waishi vizuri kidogo kutokana na penshen itakuwaje? I hope hili kundi mojawapo linalosikitika sana, maana wanaweza kukosa haki yao ya maingi baada ya kumaliza muda wao wa kutumikia serikali.
Watanzania wengi tunakosa haki za msingi kwa kutokujua sheria pamoja na mfumo gandamizi unaotumika kwa wapigania haki! Still there is hope, we can win the battle of human right s
Sio kwa utawala huuSiku imani yangu itakapo ondoka kwa serikali yangu ni pale itakapo pandisha mishahara mwezi wa saba mwakani na kusahau kwamba mwaka huu napo tulikuwa tukihitaji ongezeko la mshahara. Nikiwa na maana wakafanya increment moja badala ya mbili[emoji34] [emoji35]
Kwa sasa imani bado ipo