Badilikeni vijana wa kiume

dream100

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
27
Reaction score
2
Jaman naitaji maoni yenu juu ya ttz ili kwa vijana wa kiume. Cjajua bd ila utakuta kijana yuko na girl ahadi nyingi na maneno matam ya kimapenzi maby mme wa MTU au yuko single lkn cku ukimwambia najiisi mimba ndo cko ulompa kadi nyekundu cwasemi wote icpokuwa 85% wapo ivyo ivi km yy angekataliwa angejickiaje na je nn ttz juu ya ili? Ukipenda boga penda na UA lake maoni
 
Asilimia yote 85 ya wanaume umeshatembea nao!? Kazi kweli kweli
Kwani mkuu kama katembea nao inaleta shida gani????????????? Lets assume alisoma shule za mchanganyiko katika mazingira tofauti alitembea na wanafunzi wengi sana tangu kwenda kanisani, darasani, uwanjani na pengine hata kazini.
 
Kwani mkuu kama katembea nao inaleta shida gani????????????? Lets assume alisoma shule za mchanganyiko katika mazingira tofauti alitembea na wanafunzi wengi sana tangu kwenda kanisani, darasani, uwanjani na pengine hata kazini.

Tatizo ametoa asilimia ya wanaume wa aina anayodai. Nimeuliza tu lakini
 

huelewek;tulia andika vizuri
 
jaribu kutembea na wanaume achana na wavulana... halafu si kila mahusiano yanahitaji mtoto au ndoa ... have funny carefully usije pata mimba kizembe ukitegemea awe tayari kulea ,... kila mwanaume unayekuwa naye jaribu kujua malengo yake juu yako .. na matokea ya hiyo ngono kama ataweza kubaliana nayo.. kama hayupo tayari kuwa na mtoto kuwa makini siku ambazo upo kwenye hatari usijeweke tu kama huwezi kujikinga tumia vidonge huwezi tumia condom huwezi baada ya tendo kunywa dawa huwezi hayo basi kuwa single mama...

si kila relationship inahitaji goli (mtoto).. nyingine chenga nyingi na faulo kibao ndiyo wanapenda ....
 
Hivi kila mwanamme akikugegeda tu, ni nyama nyama? Una hatari weyeeeeee
 

Umesema vema miss chaga sio kila relationship inahitaji motto
 

Inaonekana umeshapitiwa na marungu ya aina nyingi sanaaaaaaaaaaaaa. Teh teh teh
 
Nimesoma na kuishia katikati uandishi mbovu
 
Maoni yenu ni mazur icpokuwa wengi wenu ndo walewale watoaji au wakataaji au mlokataliwa najua mtabisha na kutoa kauli mbovu ila moyoni mwenu ukweli mnao na siri yenu binafsi aijawai tokea kitu km icho icpokuwa ni ujumbe kwa wengine waelewe na wawe makini c vingine
 

Uwe na nukta basi unaandika kama unaongea bwana"
 
Nirudishe shule ili nikuandikie vizur ili ufurahi Gide MK nikaribishe kwa kelele ujue km ni mwenyeji
 
Last edited by a moderator:
ha ha hahahaha
 
Hizi 85% umeotea au umelifanyia kazi.
Na kwa uandishi wako huu hakika lazima wakatae mimba maana unaweza kutabiri nini kitatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…