deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Nafikiri mhotspot kwa windows iko poa sana maana sio complicated S/W ila kama PC yako iko poa Connectify iko poa pia inaweza kushare internet kwa njia ya Wireless na Wired
Ila ubovu wake ni paid application ila tunamshukuru Mungu kuna vitu kama "torrent" ambako unatumia paid apps zilizo cracked
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=614048Si ungetupia ma-link mkuu kwa faida ya jukwaa letu pendwa watu waweze kupata hizo cracked applications kiongozi...?'
Kiranga mhotspot is very secure na pia ZTE wameingia nao mkataba kuna fununu waka include kwenye toleo la modem zao mpyadeejaywillzz
Hujaelezea suala muhumu sana la usalama.
Check ur email
Hi mkuu, nidondoshee maelezo ya windows kwa zakayooilepo@gmail.com
deejaywillzz
Nafikiri mhotspot kwa windows iko poa sana maana sio complicated S/W ila kama PC yako iko poa Connectify iko poa pia inaweza kushare internet kwa njia ya Wireless na Wired
Ila ubovu wake ni paid application ila tunamshukuru Mungu kuna vitu kama "torrent" ambako unatumia paid apps zilizo cracked
Kiranga Swali lako mbona linakuwa kama hauna nia ya Kijifunza au kunifundisha bali kubishana? Inatumia WPA2-Person (Encryption).Very secure eeh? Inatumia security gani?
Swali lako mbona linakuwa kama hauna nia ya kutaka kujua bali kubishana? Inatumia WPA2-Person (Encryption)
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=614048
Latest Update: Connectify Dispatch 7.3.1.30389 Full Version
Zaidi ya Laptop, hii kitu inafaa kwa desktop?