Kabisa. Sijaona hoja ya kujificha sura na anajulikanaHaina jinsi sasa watu wanamjua vizuri sanaa
Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada Irene 'Sheila' Uwoya ,
Leo ameamua kumtolea povu mtangazaji 'Mmbea' Wa Tv na Radio Clouds Soudy brown ambaye amekuwa akimuandama mara kwa mara dogojanja kwa suala la ndoa yake na Mwanadada Uwoya kwakile kinachoonekana Tofauti ya umri kati ya wanandoa hao,
Baada ya kuona Soudy brown anavuka mipaka Dogojanja ameamua kumtolea povu la wiki Soudy huku akipost picha inayomuonesha Soudy brown sura yake halisi bila ya mask, Naona Badamu banazidi Kumwagikaaaaa.
Kabisa. Sijaona hoja ya kujificha sura na anajulikana
Hapana hatujuani jamaniKumbe mnajuana
Sasa si angemwambia private
Hakomi. Kaka anapenda umbea yule jamani.Kwani na Yeye alipofuatwa fuatwa na Soud Brown ilikuwa private? Soud Brown kamuumbua na Yeye Dogo Janja nae kamaliza kabisa shughuli hivyo sasa ngoma ' droo ' na labda Soud Brown atabadilika na akili itamkaa sawa.
Mkuu we utakuwa si wa Dar ila wanaume wa Dar watakubaliana namiHeheh mkuu, huo mstari wa mwisho ndipo ulipoharibu.
Huyu sudi nilishamzarau siku nyingi sana ,nilipogundua kuwa anaweza KUTUMIKA kumtengenezea mtu kashifa ,tupa kuleKabisa. Sijaona hoja ya kujificha sura na anajulikana