Kuwa shabiki wa arsenal ni kujitakia stress
kocha anadondoka kama ana mdondo...na hapo ni kabla ya mechi....
ila kwa ubahili la hili zee..inawezekana thread za viatu zilikuwa zimeisha kabisaa...japo hiyo floor inaonekana not slipperly enough..Baada ya mechi si shughuli sasa