Bad boys watamu sana. Usithubutu kiwaonja ni highly addictive.

Nilidhani unasemaga kuwa wewe ni mjanja kwa kuwa huwa una uwezo wa kulaghai mwanaume na kupata pesa bila kuvua chupi!Kumbe huna lolote,uko kama wanawake Wengine.
 
For the first time toka Lara 1 one ujoin humu umeleta story ambayo hukujipendelea.

BTW chunga sana, watu wa hizi issues huwa wanatafuta legit personnels kupitishia vitu deals zao.

Muda si muda atakuambia naomba hela flan nipitishie kwenye ac yako, au utakutana na flan akupe mzigo etc. Anachofanya now Trust Building.
 
Kuna kipindi cha clouds wanaongea haraka haraka afu mwsho wa mada wanacheka kwa nguvuuu "hahaha" wakimalzia na neno "UHONDOO" hopin yule mwongeaje ni ww au mna uhusiano wa karbu
 
Lara 1 usisahau ndomu tu, kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Mwitikio mbona f umejikamua kuandika ..safi lakini stori zimepandiana humo
 

Is it an essay??
 
Mnaolalamika lugha mkae tu muendelee kuota jua la utosini la Dar. Hiyo lugga ndiyo imemfanya LARA 1 kuwemo humu.
ILA LARA 1 Kubwa la maadui siamini kama sterring waelekea kufia kwenye cob web. Duh jamaa kashakuweka kwenye arm pit. You are walking on his steps for sure.
 
Kubwa la madui limeuliwa na manati, ila kaa ukijua, hakuna mwanamke mjanja mbele ya mwanaume kwani mwanaume akiamua lake hakuna wakumzuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…