Fikiria digital cameras kwa kuanzia maana UK nasikia ni cheap saana.asalam alekum wana javi nawasalimu. naombeni msaada wenu wa mawazo mi nina kaka yangu huwa anasafiri mara kw mara kwenda UK(wingezera) kioffice sasa ameniuliza ni v2 gani vidogo vidogo vinavyobebeka anaweza kuja navyo nikaviuza. nimejaribu kuangalia vi2 km simu lkn nimeona kutokana na hizi sim za wachina hakuna atakaye kubali kw bei hiyo mkononi.unakuta sim kule UK inauzwa 150,000 na huku dukan inauzwa 180,000. simu hii ukiiuza mkonon kw 165,000 hakuna atakaye chukua .....wanajamv naomba mnipe mawazo yenu ni vi2 gani naweza nikaleta vikatoka mkononi kw urahis mana vitu kule UK vina unafuu w bei ukilinganisha na huku TZ au kama kuna m2 atakua anahitaji kuoda some thing aniPM. Atsanteni.
mimi ningependa kukushauri kama utajaribu vitu vya wanawake, cosmetics pia zinaweza zikalipa, cha muhimu uangalie quality, ila itategemea upo wapi ili uweze kuuza
mimi ningependa kukushauri kama utajaribu vitu vya wanawake, cosmetics pia zinaweza zikalipa, cha muhimu uangalie quality, ila itategemea upo wapi ili uweze kuuza
Mahereni na mabangili vinaweza kushinda na zinazotoka China kwa bei?yap. Mahereni, mabangili, cheni, saa za mikononi na makorokoro yetu yale.
asalam alekum wana javi nawasalimu. naombeni msaada wenu wa mawazo mi nina kaka yangu huwa anasafiri mara kw mara kwenda UK(wingezera) kioffice sasa ameniuliza ni v2 gani vidogo vidogo vinavyobebeka anaweza kuja navyo nikaviuza. nimejaribu kuangalia vi2 km simu lkn nimeona kutokana na hizi sim za wachina hakuna atakaye kubali kw bei hiyo mkononi.unakuta sim kule UK inauzwa 150,000 na huku dukan inauzwa 180,000. simu hii ukiiuza mkonon kw 165,000 hakuna atakaye chukua .....wanajamv naomba mnipe mawazo yenu ni vi2 gani naweza nikaleta vikatoka mkononi kw urahis mana vitu kule UK vina unafuu w bei ukilinganisha na huku TZ au kama kuna m2 atakua anahitaji kuoda some thing aniPM. Mie naishi dar Atsanteni.
eti vidude vya senksi mbn cvioni? .....nataka nikugongee!
Mahereni na mabangili vinaweza kushinda na zinazotoka China kwa bei?
atazingatia quality. Uzuri wa biashara ya makorokoro yetu ni rahisi kutushawishi kununua. Halafu hata kama kabatini yapo mia, sisi tunaendelea tu kununua.
thanx zilikuwa holiday. lolHah! kimerudi ila ckugongei mpk unambie ulivificha wapi? mana kimerud 2 kwnye hii post yako!!
Hapo kweli! ila kupoint vy kisista duu inaweza ikawa taabu mana mnunuaji mwenyewe manaume beyb atafute m2 huko amsaidie ....ngoja nikugongee bhana kicje kikapotea tena.