Ooh,safi sana mkuu! Shukrani za dhati zimfikie bi mkubwa,kumbe wakitubania tunalainika kiasi cha kulegeza misimamo yetu. Safi mkuu kurudisha avatar tuliyoizoea na ni alama inayokutambulisha kwa kiasi kikubwa.
Mungu aepushe wasije wakaitumia yakawa ya ruksa. Kuna kitu hujagundua mkuu. Shem wetu bila shaka anatembelea humu jamvini na kuona harakati zako. Kasi yake ya kukubalasa huoni imechangiwa na maoni ya wadau kuhusu avatar yako? Muulize atakuambia ukweli huo