B Ba Liz Member Joined Aug 10, 2013 Posts 58 Reaction score 8 Sep 23, 2014 #1 kweli mtu akimaliza diploma ya CO anaweza kusoma degree hii?ni miaka mingapi na vyuo vinavyoitoa vpo vngapi Tz.?msaada
kweli mtu akimaliza diploma ya CO anaweza kusoma degree hii?ni miaka mingapi na vyuo vinavyoitoa vpo vngapi Tz.?msaada
SHAIDI JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 291 Reaction score 141 Sep 24, 2014 #2 Nahisi kuna uwezekan vyuo muhas,kcms, na bugando
Z Zawadia Member Joined Aug 12, 2014 Posts 20 Reaction score 9 Sep 24, 2014 #3 Inawezekana.Hiyo course ya Physiotherapy kwa hapa Tanzania inatolewa chuo cha KCMUCo pekee,Pia ni miaka minne kwa wale direct from school na miaka mitatu kwa wale Inservice.
Inawezekana.Hiyo course ya Physiotherapy kwa hapa Tanzania inatolewa chuo cha KCMUCo pekee,Pia ni miaka minne kwa wale direct from school na miaka mitatu kwa wale Inservice.
M moudy msoffe Member Joined Oct 16, 2020 Posts 5 Reaction score 1 Oct 18, 2020 #4 Nataka kusomea diploma ya occupational therapy, katka soko la ajira ipoje hyo naomba ushauri tafadhali
Nataka kusomea diploma ya occupational therapy, katka soko la ajira ipoje hyo naomba ushauri tafadhali
kilama JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 2,783 Reaction score 2,086 Oct 18, 2020 #5 moudy msoffe said: Nataka kusomea diploma ya occupational therapy, katka soko la ajira ipoje hyo naomba ushauri tafadhali Click to expand... Sipo idara ya afya lakini ni nzuri sana hiyo kozi, na sina shaka la kuhusu ajira.
moudy msoffe said: Nataka kusomea diploma ya occupational therapy, katka soko la ajira ipoje hyo naomba ushauri tafadhali Click to expand... Sipo idara ya afya lakini ni nzuri sana hiyo kozi, na sina shaka la kuhusu ajira.