thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,456
- 1,436
Mwingine kwa sasa ni mwalimu wa chemistryNawakumbusha tu vijana wa form six mnaoomba nafasi msisahau kuomba na hii programme wengi wanaidharau lakini kadri miaka inavyoenda na ndo inazidi kutambulika na watu kuona umuhimu wake.....karibuni sana kwenye uwanja wa wakemia....mwenye swali uliza
Hahhaha.....nacheka kwa furaha maana hujui unachokiongeaNi kozi nzuri ingawa si kihivyo ndio maana hata wewe hadi sasa kazi huna
Yah!! Popote life tu kuliko kukaa bila kitu cha kufanyaMwingine kwa sasa ni mwalimu wa chemistry
Wakuu vip program haina soko au
Competent kuwa na GPA nzuri au Ku master vitu?Masoko yapo kama ukiwa competent
Competent kuwa na GPA nzuri au Ku master vitu?
mkuu hata wa foundation course wanaruhusiwa kuisoma hyo ??
Direct field zao n zp?wanazofanyia kazKumaster vizuri, GPA nzuri pia inahusika
Mkuu hii degree programme kwa kifupi nikuambie popote ambapo kuna application ya chemistry hii programme inafitDirect field zao n zp?wanazofanyia kaz
Thanks mkuu nadhn koz zote n kupambna hakuna ajira rahisi kma tunavyotakaHizo ajira zilizotolewa hizi hapa View attachment 1179613
YahThanks mkuu nadhn koz zote n kupambna hakuna ajira rahisi kma tunavyotaka
Naomba kuuliza mkuu,ipi combination nzuri kama umepata BSc general UDSM ??Nawakumbusha tu vijana wa form six mnaoomba nafasi msisahau kuomba na hii programme wengi wanaidharau lakini kadri miaka inavyoenda na ndo inazidi kutambulika na watu kuona umuhimu wake.....karibuni sana kwenye uwanja wa wakemia....mwenye swali uliza
Naomba kuuliza mkuu,ipi combination nzuri kama umepata BSc general UDSM ??
Wengi wanasema Ukichanganya Chemistry and Microbiology ndo inakuwa poa,je ni kweli mkuu? Au combination ipi iko poa kwa upande wa ajira soon ukimaliza BSc general?
Naomba kuuliza mkuu,ipi combination nzuri kama umepata BSc general UDSM ??
Wengi wanasema Ukichanganya Chemistry and Microbiology ndo inakuwa poa,je ni kweli mkuu? Au combination ipi iko poa kwa upande wa ajira soon ukimaliza BSc general?