Usisome kozi kwa ajili ya soko, soma kozi kwa ajili ya mapenzi yako juu ya hiyo taaluma.Wana jf nahitaji ushauri wenu hususani waliopitia programu of law shahada ya kwanza na wengine wenye uelewa juu ya hili swala nahitaji ushauri wenu.
Mm n afisa tabibu(CO) kitaaluma nimefanikiwa serikalini natarajia kwenda masomoni kwa kozi ya bachelor of law je soko likoje pia natarajia kuhama idara ya afya nitakapohitim masomo yangu niwe sheria ila nakumbana na maneno mengi.
Wengine wanasema bali afya kwa sababu huwezi kufanyiwa recategorization kutoka afya kwenda sheria,mara sheria watu wamejaa siyo rahisi kupata nafasi japo mimi binafsi naona hata nisipofanyiwa recategorization naweza kuiaoply me as me.
Soko likoje kwa wenye uelewa na hii kitu
Kaa tulia fanya kazi yako ya utabibu, cha msingi kajiendeleze kwenye fani yako.Wana jf nahitaji ushauri wenu hususani waliopitia programu of law shahada ya kwanza na wengine wenye uelewa juu ya hili swala nahitaji ushauri wenu.
Mm n afisa tabibu(CO) kitaaluma nimefanikiwa serikalini natarajia kwenda masomoni kwa kozi ya bachelor of law je soko likoje pia natarajia kuhama idara ya afya nitakapohitim masomo yangu niwe sheria ila nakumbana na maneno mengi.
Wengine wanasema bali afya kwa sababu huwezi kufanyiwa recategorization kutoka afya kwenda sheria,mara sheria watu wamejaa siyo rahisi kupata nafasi japo mimi binafsi naona hata nisipofanyiwa recategorization naweza kuiaoply me as me.
Soko likoje kwa wenye uelewa na hii kitu
Ni hivi ndugu yangu.Wana jf nahitaji ushauri wenu hususani waliopitia programu of law shahada ya kwanza na wengine wenye uelewa juu ya hili swala nahitaji ushauri wenu.
Mm n afisa tabibu(CO) kitaaluma nimefanikiwa serikalini natarajia kwenda masomoni kwa kozi ya bachelor of law je soko likoje pia natarajia kuhama idara ya afya nitakapohitim masomo yangu niwe sheria ila nakumbana na maneno mengi.
Wengine wanasema bali afya kwa sababu huwezi kufanyiwa recategorization kutoka afya kwenda sheria,mara sheria watu wamejaa siyo rahisi kupata nafasi japo mimi binafsi naona hata nisipofanyiwa recategorization naweza kuiaoply me as me.
Soko likoje kwa wenye uelewa na hii kitu
Changamoto nn nnNadhani tunaweza kua na mawazo sawa, sema wananzengo wana mengi napenda kusoma sheria sema changamoto ni kama izo hapo
Kwa hesabu ya haraka ukienda kusoma md utasoma kwa miaka 5.Develop career yako,mzee.... fanya M.D... chukua Masters yake nakuendelea.... uje uwe super specialist.Achana na law,ipotezee hasa ukizingatia sababu walizotoa baadhi ya wadau hapo juu.
Aisee acha kusumbua watu,nenda hio law unayoitaka.Kwa hesabu ya haraka ukienda kusoma md utasoma kwa miaka 5.
Kwa ghara ya ada 6.5mn kwa mwaka ,miaka 5 utatumia 35mn kama ada kujumlisha na hela ya pango na meal nadhani utamaliza masomo umetumia 60 hadi 70 tuchukulie unasoma KAIRuki.
Sasa hapo utatumia mda mwingi na hela nyingi tofauti na law ada yake inalipika lakini pia kazi za medicine ni risk sana tofauti na law ambayo ina maslahi makubwa kuliko udaktari
Najiuliza anaomba ushauri wa nini wakati bado kasimamia msimamo wake. Anatoa taarifa kuwa anaenda kusoma Law au anaomba mawazo ya wengine kusudi yeye ang'amue.Aisee acha kusumbua watu,nenda hio law unayoitaka.
Unafikiri ni rahisi kuaminiwa na wateja ukiwa mwanasheria unaweza kuendana na ushindani uliopo fani ktk husika?Ahsante sana kwa ushauri japo sijajua kwa nn wadau wanaichukia sana law wakati inawezekana kujisajili kwa kupitia law ambapo haihitaji mtaji mkubwa kama afya kwa sababu ili ujiri kwenye medicine mfano kufungua zahanati ama kituo cha afya unahitaji mtaji kuanzia 20mln ambapo law unaweza kujiajiri kwa mtaji mdogo sana
Soma Digrii ya sheria mkuu,Wana jf nahitaji ushauri wenu hususani waliopitia programu of law shahada ya kwanza na wengine wenye uelewa juu ya hili swala nahitaji ushauri wenu.