ualimu ni sehemu ya kuanzia kwa ajili ya kupata uzoefu baada ya hapo unaweza kusepa na kujiunga na masters ya field nyingine au ukaajiriwa kwenye fani zisizo za ualimu lakini zinazihitaji watu wenye uzoefu wa kushughulika na mambo ya jamii au wenye background ya ualimu
usihofu kuwa walimu kwa sababu ni fani ambayo imetoa watu wengi ambao wanafanya kazi tofauti na fani ya ualimu waliyoanzia. Cha msingi ni determination na na usikate tamaa. Tena ukiwa chuo piga msuri wa kufa mtu ili kujiwekea mazingira mazuri ambayo ukiwa kazini inakupa diversity ya opportunities. hapa nina maanisha tengeneza GPA iwe nzuri at least upper second kuna mascholarship ya kufa mtu kwa wale wasiopenda kulaza damu