Kipengeleto
Member
- Feb 21, 2024
- 47
- 90
Tupe informationHuwez kuwa supplier kwa 2M,
Kisha faida ipo ya kawaida,
Zinazotoka sana ni babycheeky
Kama una mtaji mkubwa fanya ila mtaji mkubwa sio 2M
Asanteee mkuu,nitazitafuta.Ukiweza kupata diapers zenye ubora kama wa Sleepy utakuwa umemaliza kila kitu maana zile zinakaa siku nzima kama mtoto hakati gogo kila siku aaah unakuta kwa siku umetumia mbili tu.
Sleepy kweli nzuri sanaaaUkiweza kupata diapers zenye ubora kama wa Sleepy utakuwa umemaliza kila kitu maana zile zinakaa siku nzima kama mtoto hakati gogo kila siku aaah unakuta kwa siku umetumia mbili tu.
Ukiweza kupata diapers zenye ubora kama wa Sleepy utakuwa umemaliza kila kitu maana zile zinakaa siku nzima kama mtoto hakati gogo kila siku aaah unakuta kwa siku umetumia mbili tu.
Zile ni kiboko aisee.Sleepy kweli nzuri sanaaa
Ukikaona kepesiii ila kananyonya mkojo lita tano 😹Zile ni kiboko aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile walitakiwa waziite selfkontena.Ukikaona kepesiii ila kananyonya mkojo lita tano [emoji81]
Bei gani?Ukikaona kepesiii ila kananyonya mkojo lita tano [emoji81]
Kitambo hadi nshasahau, bei inauzwa kulingana na size.....Bei gani?
Asante