babu loliondo yupo facebook

huyu aliyemuweka huko ni mshenzi wa tabia.am sure kuna lijitu linafurahia huu upuuzi na ashindwe na alegee:smash::smash:
 
nimeshangaa sana kuikuta hiyo profile yake huko
huyu aliyemuweka huko ni mshenzi wa tabia.am sure kuna lijitu linafurahia huu upuuzi na ashindwe na alegee:smash::smash:
 
"Babu Loliondo is single." :lol::lol::lol:
 
kwani c alishasema na kuandikwa kuwa alifiwa na mke wake sasa tatizo liko wapi kuwa singo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…