Kama ukiendelea kuwa unabisha kuhusu kubebwa wazi wazi hata kama wewe ni mshabiki wa Man U basi utakuwa umeweka upenzi zaidi kiasi cha kutupa ukweli pembeni..Ashley Young akiwa offside mwanzoni ikachuniwa,aliguswa hakusukumwa ila ali dive kupata penati,haikuwa red card offense,red card ikatolewa.Hata wachambuzi wa Dstv wakakumbushia incidence ya Man vs Fulham,Danny Murphy akinyimwa penati katika incidence iliyo zaidi ya hii ya kujirusha Ashley Young.Maana yeye alikuwa slightly kicked na sio kusukumwa..QPR walipokata rufaa kwa red card nilijua tu watashindwa..na hii ni kwa sababu FA wangeitengua ile red card ingekuwa ni kutudhihirishia ilikuwa ya uongo(zengwe) na hivyo penati ilikuwa zengwe..wasingeweza kufanya hili kwani FA pia inajulikana kama Fergie's Association