Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,420
- 33,982
- Thread starter
-
- #121
Scars,Wote tunajifunza hapa na ndio maana tunafanya mjadala kubadilishana mawazo tupate maarifa mapya
Nataka nijue nchi hii mtu asiyekuwa na dini amepewa kipaumbele gani kwenye rank za madaraka
Lakini pia ningependa kujua ni vigezo gani ambavyo vinaangaliwa sana linapokuja swala la kupeana madaraka
Hapo juu nimeona umeelezea 80:20 ambayo imehusisha wakristo na waislamu
Lakini sijakuona ukijitokeza kuwasemea kundi lililosahaulika hapo (atheists) kuwa wanabaguliwa na viongozi wa dini hizo mbili (islam&christian) badala yake umeongelea uislam kua umezidiwa na ukristo katika rank za madaraka, ila atheists ambao hawajapata hata mtu mmoja serikalini umeona ni sawa
Kwanini iwe hivyo?
Saf...Asante ningependa sana kupata majibu ya hoja zangu kwa sababu sijauliza ili nisifiwe bali nimeuliza ili nijibiwe
Nina imani nitajifunza tu kwenye majawabu yako mzee wangu
Kwa hiyo kumbe mtu asiyekuwa na dini hana nafasi ya kupewa madaraka kwenye nchi ambayo haifungamani na dini?Scars,
Bila kuijua historia ya uhuru wa Tanganyika utapata shida sana na kuja na hoja ambazo kwa mtu aneijua historia hii kwa kweli atabaki kucheka.
Angalia hizo picha hapo chini za harakati za kudai uhuru.
Nionyeshe mpagani hapo:
View attachment 2100366
View attachment 2100369
View attachment 2100375
Scars,Kwa hiyo kumbe mtu asiyekuwa na dini hana nafasi ya kupewa madaraka kwenye nchi ambayo haifungamani na dini?
Historia ya tanganyika tumesoma shuleni na ndio ambayo wewe unaonekana kuipinga ukidai kua kuna mambo mengi yamefichwa, ila tunapojitokeza kukuhoji ili nasi tupate kuyajua hayo yote nashangaa unaturudisha kule kule ambako mwanzo ulionesha kutokuwa na imani nakoScars,
Jitulize usome historia ya uhuru wa Tanganyika.
Usiwe na haraka ya kufanya mjadala na mie.
Scars...Historia ya tanganyika tumesoma shuleni na ndio ambayo wewe unaonekana kuipinga ukidai kua kuna mambo mengi yamefichwa, ila tunapojitokeza kukuhoji ili nasi tupate kuyajua hayo yote nashangaa unaturudisha kule kule ambako mwanzo ulionesha kutokuwa na imani nako
Mimi nataka tu unijibu maswali yangu ili namimi niweze kupata hayo maarifa
Kweli mzuri lakini nimekosa majibu ya maswali yangu. Bado nipo kwenye kizaDay...
Mjadala mzuri najifunza mengi hapa.
Day...Kweli mzuri lakini nimekosa majibu ya maswali yangu. Bado nipo kwenye kiza
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Sop...Huyu mleta mada ni mtu mharibifu sana. Narudia mharibifu sana. Watu wa hovyo wakutaka kuturudisha zamani au kutupeleka kusiko na maana. very soon utasikia kuna mwandishi uchwara mwingine kajitokeza na hoja zake " Jinsi nyerere alivyosaliti walutherani" na atakuja na mapicha picha yake, this is not okay.......
Mfano wa vitu simwelewi, kama huyo adbul sykes angepewa uongozi kwani ni nini cha ajabu kingetokea?. Ilikuwa apewe wizara ya fedha ikiwa hana taaluma hiyo, kisa tu alimpa hifadhi nyerere? This is not okay ......
Mwalimu alikuwa na marafiki wengi, jamaa na ndugu wengi, wengine wa damu ,na hakuwapa vitengo, hao mbona sijaskia waikilalamika? mataifa mengine viongozi wa kwanza walijaza ndugu zao katika uongozi, kwa Nyerere hatukuona hilo..
Manake ni kwamba kigezo alichokuwa anatumia ni nani ako na the best mind sio what religion kwenye kitengo husika.
Mkuu kuendesha nchi kwa mara ya kwanza ni zaidi ya kuendesha startup from the jungle, na tukubali tuu mwalimu was the Genius. Apumzike kwa Amani.
Kweli Mzee wangu.ingawa mwanafunzi anapouliza maswali hutegemea majibu kwa mwalimu wake.sasa mwalimu naye anapoleta shaka ya kujibu maswali ya mwanafunzi huiacha adhira ya kuwa na shaka na mwalimu wao.Day...
Usipate shida kila binadamu ana uwezo wake wa kuelewa.
Hili ni jambo la kawaida sana.
Day...Kweli Mzee wangu.ingawa mwanafunzi anapouliza maswali hutegemea majibu kwa mwalimu wake.sasa mwalimu naye anapoleta shaka ya kujibu maswali ya mwanafunzi huiacha adhira ya kuwa na shaka na mwalimu wao.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Hapana tuangalie zanzibar kwanza ambako kuna waislamu watupu kabla yatujafanya huku.
Je kwa zehemu kama zanzibar wizara zote zina waislamu wewe unadhani wamenufaika ama kupata jambo gani kubwa katika uislamu au kwa waislamu alafu ikawa uislamu wa huku bara haujalipata jambo hilo kutoka katika serikali ya bara ambako kuna wakristo wengi ?
Kwa nini umechagua waislamu na tusianze na wakristo wachaguliwe kwanza ?
Pia mzee wangu hii haitokuwa kampeni itakuwa ni kuendeleza lile linaloitwa tatizo kwa sababu raia hujawapa kampeni yoyote ya kukabiliana na jambo hilo
Scars,
Bila kuijua historia ya uhuru wa Tanganyika utapata shida sana na kuja na hoja ambazo kwa mtu aneijua historia hii kwa kweli atabaki kucheka.
Angalia hizo picha hapo chini za harakati za kudai uhuru.
Nionyeshe mpagani hapo:
View attachment 2100366
View attachment 2100369
View attachment 2100375
Huyu mleta mada ni mtu mharibifu sana. Narudia mharibifu sana. Watu wa hovyo wakutaka kuturudisha zamani au kutupeleka kusiko na maana. very soon utasikia kuna mwandishi uchwara mwingine kajitokeza na hoja zake " Jinsi nyerere alivyosaliti walutherani" na atakuja na mapicha picha yake, this is not okay.......
Mfano wa vitu simwelewi, kama huyo adbul sykes angepewa uongozi kwani ni nini cha ajabu kingetokea?. Ilikuwa apewe wizara ya fedha ikiwa hana taaluma hiyo, kisa tu alimpa hifadhi nyerere? This is not okay ......
Mwalimu alikuwa na marafiki wengi, jamaa na ndugu wengi, wengine wa damu ,na hakuwapa vitengo, hao mbona sijaskia waikilalamika? mataifa mengine viongozi wa kwanza walijaza ndugu zao katika uongozi, kwa Nyerere hatukuona hilo..
Manake ni kwamba kigezo alichokuwa anatumia ni nani ako na the best mind sio what religion kwenye kitengo husika.
Mkuu kuendesha nchi kwa mara ya kwanza ni zaidi ya kuendesha startup from the jungle, na tukubali tuu mwalimu was the Genius. Apumzike kwa Amani.
kwa mtizamo wangu uteuzi hauangalii dini ya mtu bali ufanisi kwenye kazi anayokwenda kuifanyaKong...
Uadilifu II
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uteuzi huo umekuwa kama Sera kwa teuzi zinazoendelea ndani ya miaka yote mitano. Vilevile kama Mwongozo kwa wateule wenye mamlaka ya kuteuwa. Mwelekeo huo unakinzana na Katiba ya nchi ibara ya 13(4)(5), inayokataza ubaguzi wa aina zote. Kwa hakika Taifa halihitaji kiongozi wa nchi akiwa Muislamu basi ateuwe idadi kubwa ya Waislamu wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi au akiwa Mkristo atumie uongozi wake kuteua idadi kubwa ya Wakristo wenzake katika uongozi nchini. Au akiwa Mzanaki ateuwe idadi kubwa ya Wazanaki wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi na mfano wa hayo.
GE2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...www.jamiiforums.com
Mfumo Na watendaji bado ni kristoLeo Junapili January 30/2022
Raisi wa JMT ni Mwislamu
Waziri Mkuu wake ni Mwislamu
Raisi wa Zanzibar ni Mwislamu
Makamu wake Ni Mwislamu
Waziri wake Kiongozi ni Mwislamu
Je bado kuna malalamiko ya ukandamizwaji wa Dini yoyote ?
Au ni lazima fulsa ziwe 50/50 ndio turidhike kuwa kuna fare play ?
Sawa kwahiyo wewe ulipenda mfumo tendaji wote lazima uwe 50/50 ?Mfumo Na watendaji bado ni kristo