infantrier JF-Expert Member Joined Jan 1, 2013 Posts 343 Reaction score 126 Aug 4, 2013 #21 Chizi Fureshi said: 2. Baba naishi na watoto waliopatikana kwa mama mbalimbali, hapo aliwazalisha yeye. 3. Mama anaishi na watoto aliozaa kutoka kwa vidume mbalimbali. Click to expand... Hapa umefafanua vizuri , lakini pale juu alipokunakili Pretta ni tafauti na ufafanuzi huu, tafadhali rekebisha pale.
Chizi Fureshi said: 2. Baba naishi na watoto waliopatikana kwa mama mbalimbali, hapo aliwazalisha yeye. 3. Mama anaishi na watoto aliozaa kutoka kwa vidume mbalimbali. Click to expand... Hapa umefafanua vizuri , lakini pale juu alipokunakili Pretta ni tafauti na ufafanuzi huu, tafadhali rekebisha pale.